Tanzania itacheza mechi ya nyumbani na ugenini na Uganda katika round ya kwanza ya michuano ya CHAN 2014 itakayofanyika South Africa.
Katika zone ya CECAFA zitaqualify timu 3 kwenda kwenye michuano hiyo.
Round ya awali itazitakutanisha mechi kati ya Ethiopia Vs Eritrea, Kenya Vs Burundi.
Match I : 30 Nov.01,02 Dec 2012
Match II : 14,15,16.Dec.2012
Mechi zitachezwa baada ya mashindano ya CECAFA 2012 Uganda
Round ya kwanza ambayo washindi watapenya hadi fainali hizo zitakutanisha ;
1.Sudan Vs mshindi (Kenya Vs Burundi)
2.Rwanda Vs mshindi (Ethiopia Vs Eritrea)
3.Tanzania Vs Uganda
Match I : 21,22,23 June 2013
Match II : 05,06,07 July 2013
Mungu ibariki Tanzania iweze kuichapa Uganda
Draw for African Nations Championship 2014 qualifiers completed - Orange African Nations Championship 2011 - CAF
Watatufanya tena Kama Namboole, mungu wangu!
ha ha ha ha!!kwa hiyo timu moja tutaichangia kwa timu zetu mbili!!!Hawataweza tena maana safari hii tutakuwa Taifa Stars na sio Kilimanjaro stars....:becky:
ha ha ha ha!!kwa hiyo timu moja tutaichangia kwa timu zetu mbili!!!
tushatoka,bora tungepangwa na sudan kusini!!!hapana sema katimu ket nusu kalifungwa na tim yao nzima.
tushatoka,bora tungepangwa na sudan kusini!!!
jamaa sijui anatumia ndunba na ngae kuchaguliwa!!!kama kamloga kocha vile!Batezi anaweza sio kaseja akichaguliwa huyo mchovu tumeaga
Tutegemee 5-0 kwa Kaseja
Tutegemee 5-0 kwa Kaseja
mzee tutawakamata Uganda kwa sababu wachezaji wetu wa ligi za ndani wako juu kiuwezo kuliko wa Uganda tatizo lao ni moja tu lakutojituma na kuelewa kwamba wamebaba dhamana ya taifa.Okwi, Hamis K na wengine wanaocheza nje ya Uganda hawatashiriki