Chan 2014 tanzania kucheza na uganda mechi ya mtoano

bemg

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
2,799
642
Tanzania itacheza mechi ya nyumbani na ugenini na Uganda katika round ya kwanza ya michuano ya CHAN 2014 itakayofanyika South Africa.

Katika zone ya CECAFA zitaqualify timu 3 kwenda kwenye michuano hiyo.

Round ya awali itazitakutanisha mechi kati ya Ethiopia Vs Eritrea, Kenya Vs Burundi.

Match I : 30 Nov.01,02 Dec 2012
Match II : 14,15,16.Dec.2012
Mechi zitachezwa baada ya mashindano ya CECAFA 2012 Uganda

Round ya kwanza ambayo washindi watapenya hadi fainali hizo zitakutanisha ;

1.Sudan Vs mshindi (Kenya Vs Burundi)

2.Rwanda Vs mshindi (Ethiopia Vs Eritrea)

3.Tanzania Vs Uganda

Match I : 21,22,23 June 2013
Match II : 05,06,07 July 2013

Mungu ibariki Tanzania iweze kuichapa Uganda

Draw for African Nations Championship 2014 qualifiers completed - Orange African Nations Championship 2011 - CAF
 
Watatufanya tena Kama Namboole, mungu wangu!
 
Bado tunaweza kuitoa Uganda kama wachezaji watajua wajibu wao uwanjani na kulipigania taifa kwa nguvu zao zote
 
Tutegemee 5-0 kwa Kaseja

mzee tutawakamata Uganda kwa sababu wachezaji wetu wa ligi za ndani wako juu kiuwezo kuliko wa Uganda tatizo lao ni moja tu lakutojituma na kuelewa kwamba wamebaba dhamana ya taifa.Okwi, Hamis K na wengine wanaocheza nje ya Uganda hawatashiriki
 
Hapo sio kuona...tuhesabu hatushiriki hayo mashindano...

Zenmoster hakuna kukataa tamaa katika kutafuta mafanikio nilazima kocha aanze kuwekeza katika vijana kwenye uteuzi wake na hapo tutawachapa waganda na kila timu itakayocheza nasi
 
Watatufanya tena Kama Namboole, mungu wangu!

Roodney lazima tulipize kisasi kwa kuwatoa hawa waganda ,Kazi iliyopo ni kwa wachezaji watakaoitwa kujituma na kuacha kubweteka wanaposhinda mechi moja.
 
mzee tutawakamata Uganda kwa sababu wachezaji wetu wa ligi za ndani wako juu kiuwezo kuliko wa Uganda tatizo lao ni moja tu lakutojituma na kuelewa kwamba wamebaba dhamana ya taifa.Okwi, Hamis K na wengine wanaocheza nje ya Uganda hawatashiriki

Waganda wametoka, waliotusumbua wengi wanachecha nje ya Uganda.

RIP Uganda with your boss, the Sodomizer.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom