mwakani sisi man utd tunataka kuweka rekodi,fa ndani ya wembley,carling cup wembley,champions ligi 2011 ndani ya wembley itakuwa second time hapo wembley ktk uefa champs ligi baada ya 1968 tuliwafunga kina eusebio na benfica yake,ni bobby charton,halafu na ligi ya barclays english tuweke rekodi mpya 19,jumamosi 22 mei, mechi ngumu makocha wote wana uzoefu yani hata barca angemfunga inter bado kazi alikuwa anayo kwa bayern,na nadhani kwa bayern ingekuwa rahisi mechi ya barca kuliko inter,mechi itakuwa ngumu mana wamekutana ,makocha wote wenye ujanjaujanja na tecnnics za mpira,man utd hii hii mnaidharau ila mwakani ni jihad tu kujituma tutamshawishi fergie aongeze fowadi mwingine eg villa asaidiane na kina rooney,hernandez mpya huyu na berbatov/berbatop/berbashop yote sawa tu!
Duuh, kweli mkuu umedhamilia....80!....kuna wimbo unaimbwa...kila kona, watu kibao...ukienda jukwaa hili watu kibao>>>> sijui kama Belinda anafahamu hilo.....Eti Inter 3 na Baye 1? Siku hiyo naailisha kila kitu, hata mbagala siendi....lol
Wapenda soccer wote tunasubiria final hapo Madrid. Mechi hii huenda ikachezeshwa na refarii wa kiingereza Mr Howard Webb.
Nampenda Mourhino ila sifurahii mafanikio yake 🙂
My prediction goes for Bayen especially with the tricks of Robben on the wing and the prolific finishing of their striker Olic. Ila Inter Milan wana defense nzuri sana wakitangulia basi mechi itakwisha 1-0. Ila Bayen wakitangulia basi mechi itakwisha 2-1
Timu zote hizi zimekuwa na mafanikio kwenye nchi zao zote nimewin double kama Chelsea in England....nani kati yao atachukua kikombe cha tatu?
Wakuu wengine tujadiliane
Asante kwa kunikumbusha kuwa kutabili magori probability yake si nzuri kama kutabili mshindi.....Bet yangu ni hii....Kama Inter tutashindwa siku hiyo basi nawaomba mods wani ban for not more than 2 days, tena iwe siku ya juma3, juma4.....na kama tukishinda mods waku ban wewe kwa siku 2, juma3 na juma4......ni fainali hii......are you ready!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Naomba tubet Ba'Mkubwa, kwa ushindi na siyo idadi ya magoli..Mimi naona BM wanashinda,wewe naona umemkomalia Mourhino...Nijulishe halafu tuone dau liweje!! Nenda tu mbagala,kuna sehemu za kucheki ball kama pale njia panda ya kijichi pametulia..
Asante kwa kunikumbusha kuwa kutabili magori probability yake si nzuri kama kutabili mshindi.....Bet yangu ni hii....Kama Inter tutashindwa siku hiyo basi nawaomba mods wani ban for not more than 2 days, tena iwe siku ya juma3, juma4.....na kama tukishinda mods waku ban wewe kwa siku 2, juma3 na juma4......ni fainali hii......are you ready!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
jamani kauli zenu hizi,nakumbuka kuna mpenzi 1 wa yanga mwaka 1993,alisema eti simba ikiingia nusu fainali kombe la caf atatembea uchi,simba ikaingia nusu fainali watu walimng'ang'ania atembee uchi atimize ahadi yake mbona aliomba msamaha na akasema amekoma kutoa aahdi ambazo ngumu kutimiza,tena alitoa ahadi mwanzoni mechi ya awali simba na ferroviario ya msumbiji baada ya kuona 0-0 kule mwanza akasema simba inaenda kufungwa maputo,simba akapita kwa away goal 1-1 kule maputo nakumbuka george lucas ndio alifunga goli,mwingine mnazi wa man utd,alisema liverpool ikibeba champions ligi 2005 vs ac milan anajinyonga,lakini alishindwa kutimiza ahadi yake,kwahiyo hiyo ndio soka gem hilo gumu,bora mcheze kamari kuliko kutoa ahadi halafu unashindwa kutekeleza!
Mi napenda first Soka,Basketball,Tennis,and Ndondi.Masanilo anapenda first Soka,and Miyeleka.Wewe unapenda Soka,and Mashindano ya Magari lol!.Giro kumbe na wewe ktk soka upo,ila ni fainal ya soka usidhani nadal vs federer ktk tennis lol!
Mi napenda first Soka,Basketball,Tennis,and Ndondi.Masanilo anapenda first Soka,and Miyeleka.Wewe unapenda Soka,and Mashindano ya Magari lol!.
Mourinho kama atacheza mpira (Attacking football) Buyern bingwa.
Hahahahah umesahau kimoja, Soccer, Mieleka na mashindano ya warembo! Hahahaha Cant wait for tomorrow
Asante kwa kunikumbusha kuwa kutabili magori probability yake si nzuri kama kutabili mshindi.....Bet yangu ni hii....Kama Inter tutashindwa siku hiyo basi nawaomba mods wani ban for not more than 2 days, tena iwe siku ya juma3, juma4.....na kama tukishinda mods waku ban wewe kwa siku 2, juma3 na juma4......ni fainali hii......are you ready!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
I like the bet ila ningependekeza aliyeshindwa kwa utabiri asionekane kwa wiki ili akirejea asiwe na mning'inio wa kichapo