kkiwango
Senior Member
- Aug 27, 2007
- 173
- 14
Vp ulikula nao sahani moja? Mpaka leo hii wapo wameniunga kwa grp yaoSiyo kujidhalilisha mkuu nimeandika kuwatahadharisha wengine lakini pia wahusika wajue kuwa sitakaa kimya nakula nao sahani moja mpaka kieleweke.