Huyu ni mtu Chambo wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!
Naunga mkono huu uteuzi. ni wakitaaluma zaidi. ila hawa watu wa escrow,hata kama hawana hatia, ni vizuri akaachana nao. wanamazonge.
Huyu Chambo ni mtu wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!
Unajua watanzania wamejawa na roho ya ushetani na ngonda.Nakushauri,wewe uliyepost ujinga huu,unafurahia mwenzako kutoka hapo,wewe mshahara wako utakuja tu tena mbaya sana.
Sioni cha ajabu raisi kuamua kufanya mabadiliko vile atakavyo na wakati wowote,kwa kasii anayoitaka pamoja hatuwezi kukubaliana nae,huu sio wakati wa kutakiana mabaya au kumwona mwenzako ananyolewa.Kwanza kafanya nini mpaka umtakie baya?uhuru wetu tusiutumie vibaya katika mambo yasio ya msingi wala kutujenga sisi watanzania.Wivu chuki havitakusaidia,na ndo maana inawezekana upo hapo hapo toka mwaka jana na keso tunaingia 2016.
Hahahahaaaaa.....!! Hebu pumua kwanza jamaa yangu.Unajua watanzania wamejawa na roho ya ushetani na ngonda.Nakushauri,wewe uliyepost ujinga huu,unafurahia mwenzako kutoka hapo,wewe mshahara wako utakuja tu tena mbaya sana.
Sioni cha ajabu raisi kuamua kufanya mabadiliko vile atakavyo na wakati wowote,kwa kasii anayoitaka pamoja hatuwezi kukubaliana nae,huu sio wakati wa kutakiana mabaya au kumwona mwenzako ananyolewa.Kwanza kafanya nini mpaka umtakie baya?uhuru wetu tusiutumie vibaya katika mambo yasio ya msingi wala kutujenga sisi watanzania.Wivu chuki havitakusaidia,na ndo maana inawezekana upo hapo hapo toka mwaka jana na keso tunaingia 2016.
Kutesa kwa zamu.mlicheka watu wakilia.Unajua watanzania wamejawa na roho ya ushetani na ngonda.Nakushauri,wewe uliyepost ujinga huu,unafurahia mwenzako kutoka hapo,wewe mshahara wako utakuja tu tena mbaya sana.
Sioni cha ajabu raisi kuamua kufanya mabadiliko vile atakavyo na wakati wowote,kwa kasii anayoitaka pamoja hatuwezi kukubaliana nae,huu sio wakati wa kutakiana mabaya au kumwona mwenzako ananyolewa.Kwanza kafanya nini mpaka umtakie baya?uhuru wetu tusiutumie vibaya katika mambo yasio ya msingi wala kutujenga sisi watanzania.Wivu chuki havitakusaidia,na ndo maana inawezekana upo hapo hapo toka mwaka jana na keso tunaingia 2016.
Unajua watanzania wamejawa na roho ya ushetani na ngonda.Nakushauri,wewe uliyepost ujinga huu,unafurahia mwenzako kutoka hapo,wewe mshahara wako utakuja tu tena mbaya sana.
Sioni cha ajabu raisi kuamua kufanya mabadiliko vile atakavyo na wakati wowote,kwa kasii anayoitaka pamoja hatuwezi kukubaliana nae,huu sio wakati wa kutakiana mabaya au kumwona mwenzako ananyolewa.Kwanza kafanya nini mpaka umtakie baya?uhuru wetu tusiutumie vibaya katika mambo yasio ya msingi wala kutujenga sisi watanzania.Wivu chuki havitakusaidia,na ndo maana inawezekana upo hapo hapo toka mwaka jana na keso tunaingia 2016.
Kampiga chambo chiniHuyu Chambo ni mtu wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!
ahaaaaa...nimeipenda sana hii.Huyu Chambo ni mtu wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!
Mkuu hata eng. paul masanja ambaye alikuwa naibu wake naye katiwa nyavuni ka samaki akatupwa mchangani, magu noma hata msukuma mwenzie kampaga chini
Huyu Chambo ni mtu wa Kikwete kabisa na tena Kikwete alimteua wiki moja kabla ya uchaguzi kufanyika, ni bonge la fisadi, hii imezidi kunipa Imani zaidi na Raisi Magufuli kwa kumpiga chini huyu jamaa, hakupaswa wala kustahili kuwa Katibu Mkuu wa Wizara nyeti kama ile ya Madini na Nishati!
Atakua km sio chambo mwenyewe...au mtoto wake au binamu yake au bi mdogo hahaha cheo dhamana ..wache wengine wachukueMkuu mbona mleta thread ameongea vizuri tu tofauti na ulivyomjibu kwa jazba. Nini kimekusibu?