Chamanzi: Viwanja Vinauzwa

Chamanzi: Viwanja Vinauzwa

MY LOVE

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
161
Reaction score
68
Viwanja vyenye meter 15.24 kwa meter 15.24 vinauzwa Chamazi, kila kiwanja kina angalia barabara, maji na umeme upo.

Bei ni 7m, ni vyangu mwenyewe sio dalali mawasiliano kwa atakayetaka 0681004080 ( kwa atakaye ona ni kidogo anaweza kuungaisha kadri ya uwezo wake kwani bado vipo vingi.)
 
Vimepimwa mkuu? Na chamazi kuna umbali gani kutoka city centre?
 
Viwanja vyenye ft 50 kwa 50 vinauzwa chamazi, kila kiwanja kina angalia barabara, maji na umeme upo. Bei ni 7m. Ni vyangu mwenyewe sio dalali mawasiliano kwa atakayetaka 0681004080

Mkuu,
Jaribu kua wa kisasa zaidi. Futi 50 ni sawa na Mita 15 tu, unafikiri kinatosha??.

Watu wanataka viwanja waweze kuweka labda Nyumba kubwa na banda la kuku kwa uwani, bustani kwa mbele, kiuwanja kidogo cha kuchezea watoto n.k., vitatoka wapi hivi kwenye Mita 15 square??
 
Aksante kwa analysis nilitaka kupeleka offer sasa hivi nikidhani ni mita 50x50, Du sasa nimeelewa watu wanaopima viwanja vya hivi ni wakati wa kuwapiga viboko
 
15.24m x 15.24m = 232m[SUP]2[/SUP]

232m[SUP]2[/SUP] = Tshs 7,000,000/=

1m[SUP]2[/SUP] = Tshs 30,200/=

Tena chamazi..!
Ukipiga kwa heka nzima ambayo ni approx 4000 sqM utapata almost 120,000,000. Duh, ardhini kuna mgodi/ madini nini.?
 
Tena chamazi..!
Ukipiga kwa heka nzima ambayo ni approx 4000 sqM utapata almost 120,000,000. Duh, ardhini kuna mgodi/ madini nini.?

Afadhali wewe useme mkuu maana!! Hiyo bei sio,utafikiri kiwanja kipo oysterbay

Mkuu hutopata wateja,labda nikupe sababu kama hutojali,kwanini ninunue kwako ambapo hujapima kwa bei ya Tsh 30000 wakati kigamboni Kiwanja kimepimwa bei ni 8500 mpaka 10000,ikizid Sana 15000 au 20000.Nafikiri inabidi ufikirie upya,na huko chamazi ni mbali sana ikilinganisha na kimbiji kigamboni hiyo km 16 sijui umepima tokea wapi
 
....meter 15.24 kwa meter 15.24 ......... Bei ni 7m.

kila la kheri...nasikia wengi wanakimbilia kibaha square mita 1 sh 5000. Mita 30 kwa 30=square mita 900 ambayo ni sawa na sh mil 4.5

na vimepimwa
 
Afadhali wewe useme mkuu maana!! Hiyo bei sio,utafikiri kiwanja kipo oysterbay

Mkuu hutopata wateja,labda nikupe sababu kama hutojali,kwanini ninunue kwako ambapo hujapima kwa bei ya Tsh 30000 wakati kigamboni Kiwanja kimepimwa bei ni 8500 mpaka 10000,ikizid Sana 15000 au 20000.Nafikiri inabidi ufikirie upya,na huko chamazi ni mbali sana ikilinganisha na kimbiji kigamboni hiyo km 16 sijui umepima tokea wapi
Sema kuwa wewe huwezi, mbona vinanunuliwa? Kuhusu umbali muulize google. Siku za jpili hakunafoleni kabisa natumia dk 25 kutoka chamazi mpaka stesheni. Sihangaiki na maji ya mgao, nimechimba na ni maji safi, ujenzi wake si mgumu huitaji kupasua miamba kukolevel hakuna milima wala mabonde, barabara mpya inayobuniwa ya kutoka airport to kigamboni kupitia chamazi na kongowe inapita ktk eneo hili, kuna faida nyingi sana kwa watu wanaona mbali. Mwenye macho na aone, na mwenye ufahamu afahamu.
 
ni sawa kwenda kibaha kwa unafuu wa viwanja, ila kunamwingine anaangalia vigezo vingine nje ya ukubwa na gharama. Unafikiri mimi nikitoka chamazi naenda posta au kkoo na wewe ukatoka kibaha unakuja posta au kkoo nani atawahi kufika? mf ni biashara au ofisini. wapo wengi walioenda huko wakarudi huku chamazi kukwepa kulala kila siku saa tano na kuamka kabla ya 11 alfajiri, haijalishi una gari au la, adha ya foleni inawakumba wote.
 
Chamazi Sehemu Gani? Kwa Mkongo, Magengeni Au Kwa Mama Mchina
 
Chamazi Sehemu Gani? Kwa Mkongo, Magengeni Au Kwa Mama Mchina
unashuka shell pale kwa mama Mchina, vipo nyuma ya shule ya lilies, maeneo hayo kama ni mwenyeji si mbali na kwa diwani.
 
kila la kheri...nasikia wengi wanakimbilia kibaha square mita 1 sh 5000. Mita 30 kwa 30=square mita 900 ambayo ni sawa na sh mil 4.5

na vimepimwa

karibu mkuu,mimi ninavyo kibaha nauza hatua 20 kwa 20 bei ni tsh 2milioni,
PM au piga au tuma msg
0782 068663
0658 068663
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom