Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,710
- 149,954
Ni ukweli ulio wazi kuwa wapenzi, viongozi na mashabiki wa chama "X" wameumizwa sana na kuondokewa na "The Great EL" pengine kuliko hata walivyoondokewa na Muasisi wa Chama chao!
Chuki,vijembe,matusi, n.k visivyoisha dhidi ya binadamu mwenzao ni kielelezo tosha cha hasira,wivu,machungu na maumivu waliyonayo baada ya mwenzao kuamua kujitoa katika chama chao.
Tujiulize hivi yeye ndie wa kwanza kujitoa katika chama hicho?Mbona wako wengi tu lakini hatusikii wakiwasimanga na kuwakejeli kila kukicha?Sijui wame-miss michango yake ya fedha,mawazo,n.k katika chama?Yaani siku hizi wanamtaja mh. huyu pengine kuliko hata Muasisi wa chama chao na nidhani hata katika vikao vyao hali ni hiyo hiyo.
Anyway,pengine shida ni kwasababu kahamamia wasikokupenda.
Swali:Kama alikohamia hawakupendi, kinawauma nini sasa?Wivu wao wa kuachwa kwakweli umezidi hata wivu wa mapenzi!