Ngoja waje hapa mapovu kibao wana hasira sanaWydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi, uongozi wa Simba, Chama na Ally Salim.
Wydad waliokolewa na golikipa wao kudaka mikwaju 2 iliyopigwa vizuri na kapo Kapombe na Chama kitu ambacho Ally Salim hakuweza kukifanya kutokana na uchanga wake golini.
Uongozi wa Simba na bench la ufundi kuacha kumtumia Beno Kakolanya kwasababu za kijinga, kipuuzi, kibwege, unsporting na kichawi kukaa langoni kudaka penati na kumuamini kijana kinda kulisababisha Simba kuingia hasara kubwa sana ya kutolewa mashindanoni na timu dhaifu ya Wydad, Ningekuwa mimi ni mo ningemsaka aliyesema Beno kipa namba 2 asikae golini kwenye mashindano haya makubwa baada ya Manula kuumia.
Chama na Kapombe hawakuwa makini na kazi Yao pia ingawa penati huwa hazina mwenyewe lakini "why us" every day tutolewe robo final?
Bench la ufundi lilipaswa kumwingiza Beno kudaka japo penati TU badala ya mtoto Ally ambae aliteseka sana kujirusha chini kwa namna ileile kwa penalti zote.
Swali ni je, Simba itakuwa na ubavu wa kumzuia Inonga abaki Simba? Inonga pekee ndiye aliyepunguza idadi ya magoli siku Ile.
Huyo ni uto mwenzio mkuu.Ila binadamu bwana, kweli tenda wema amsha zako! Huyu huyu Chama kawabeba mabegani mara ngapi leo mnamnanga kwa kukosa penalt? Penalt haina mwenyewe kaka... Anyway.. huo ni ugomvi wenu madunduka!!
Huyu sio Uto mwenzangu Mkuu! Huyu lazima atakua dunduka, anaongea kwa uchungu mno.Huyo ni uto mwenzio mkuu.
Ndugu zako wanajiskia raha watu wakitukana. Si unaona mwandiko tu umekaa kitopolo mkuu?Huyu sio Uto mwenzangu Mkuu! Huyu lazima atakua dunduka, anaongea kwa uchungu mno.
Acha bangi zako utopolo.Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi, uongozi wa Simba, Chama na Ally Salim.
Wydad waliokolewa na golikipa wao kudaka mikwaju 2 iliyopigwa vizuri na kapo Kapombe na Chama kitu ambacho Ally Salim hakuweza kukifanya kutokana na uchanga wake golini.
Uongozi wa Simba na bench la ufundi kuacha kumtumia Beno Kakolanya kwasababu za kijinga, kipuuzi, kibwege, unsporting na kichawi kukaa langoni kudaka penati na kumuamini kijana kinda kulisababisha Simba kuingia hasara kubwa sana ya kutolewa mashindanoni na timu dhaifu ya Wydad, Ningekuwa mimi ni mo ningemsaka aliyesema Beno kipa namba 2 asikae golini kwenye mashindano haya makubwa baada ya Manula kuumia.
Chama na Kapombe hawakuwa makini na kazi Yao pia ingawa penati huwa hazina mwenyewe lakini "why us" every day tutolewe robo final?
Bench la ufundi lilipaswa kumwingiza Beno kudaka japo penati TU badala ya mtoto Ally ambae aliteseka sana kujirusha chini kwa namna ileile kwa penalti zote.
Swali ni je, Simba itakuwa na ubavu wa kumzuia Inonga abaki Simba? Inonga pekee ndiye aliyepunguza idadi ya magoli siku Ile.
Tulia na kombe la lako la kushirikishwa..manajitapa na kuwafunga mito ilojichokea..Wydad ata mkirudiana wiki ijayo tena Kwa mechi mbili bado watawatoa, nusu fainali haziendi timu za mchongo Kwa kutegemea Ulozi.
Sio kweli kaka, tunawadai nusu fainali. Haiwezekani robo finali 4 zisizae nusu final moja. Lugha hiyo ni lugha ya kujikaza sana na maumivu. Kuna mpiuzi mmoja anadai kuwa eti tumekufa kiume, amesahau kuwa hii ni robo fainali ya 4, amesahau kuwa timu imepoteza 10ml za mama na mabilioni ya CAF kizembe. Beno hapangwi kudaka eti kwasababu anatakiwa na singida United, huko Ulaya na kwingineko wachezaji wanawaniwa na timu nyingine lakini wanaendelea kukiwasha kwenye timu zao. Kivuli Cha Yanga kinatutesa sana.Acha bangi zako utopolo.
Sisi wana Simba hatuna cha kuwadai wachezaji wetu wala benchi la ufundi.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hiyo widad unayo ita dhaifu si ndo iliwafunga vibonde mnacheza nao kwenye kombe lenu la michongo magoli sita bila ?Ukiwachana ukweli wanakasrika , lakni ukweli ndo huo kama Simba imeshindwa kuingia semi final dhidi ya timu dhaifu ya wydad sjui kama watapata hii ngekewa tena , inashangaza mashabiki wa Simba walikuwa na hofu kuwa wydad ni timu kubwa na hii inferiority complex ilikuwa mpak Kwa bench la ufundi kushindwa kusaka goli ugenini na kujisifia kuzuia ...
Alaf mtu anakuja et timu ipelekwe bungeni , kila mwaka unaishia robo final unajisifu
Tulia wewe usije kujiua Bure,that's why inaitwa sports,it's win or loose,acha kitoa povu.Mboma Arsenal.hawana.mapovu na ubingwa Karibu wanaupoteza dakika za.mwisho na city anaelekea kuchukua triple.Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi, uongozi wa Simba, Chama na Ally Salim.