Chama makini hakiwezi kushupalia suala dogo kama hili. Hii ni dalili sasa mmeshakubali matokeo

Kwa kuwa umepigia jibu mstari basi vizuri. Maana haiwezekani mtu mmoja akawa na Id mbili.

Acha upotoshaji, mtu mmoja anaweza kumiliki hata id 100, lakini hawezi kuzitumia zote kwa wakati mmoja kuchangia kila mara. Nadhani umefahamu vizuri sasa kwa vitendo.
 
Chadema kama chama kikuu cha upi zani nchini. Haipaswi kushupalia na kukaa mnafurahia kutenguliwa kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Mrisho Gambo

Sasa hivi nyie kama chama ambacho ni chama kikuu cha upinzani mlipaswa mtuonyeashe mna mikakati gani ya kuhakisha mtabaki kuwa chama kikuu cha upinzani.

Chama chenu kimechafuka mbele ya jamii.Tulitegemea mtueleze mtapangua vipi kashfa za ufisadi zinaowakabili za kuruhusu mwenyekiti wenu alipwe deni hewa zaidi ya bil 8.

Maana wananchi lazima watawahoji kama mlijinasibu kupinga ufisadi,mbona mliruhusu uchafu kama huu kufanyika?

Hata kama aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ametenguliwa nyie itawapa credit gani kwenye uchaguzi mkuu hapo October?

Hii inaonyesha Chadema hamna mkakati wowote wa kujikwamua baada ya kujua mmeshashindwa vibaya hata kabla ya uchaguzi. Maana mnajadili na kufurahia mambo ambayo hayawasaidii hata kidogo.
Na kwa mantiki hii msione aibu hata kukubali mapema kabisa kuwa CCM imewazidi kete kwa kila namna.

Sasa mnabaki kusubilia matukio yanaowahusu Ccm na kuyageuza ishu za kujadili wakati haziwasaidii.
Huu ni ukweli usiopingika kabisa.
Wanajadili watu na matukio badala ya sera na hoja.

Umefika wakati wa kuwatambua chadema kama failed party
FB_IMG_1592137507510.jpeg
 
Acha upotoshaji, mtu mmoja anaweza kumiliki hata id 100, lakini hawezi kuzitumia zote kwa wakati mmoja kuchangia kila mara. Nadhani umefahamu vizuri sasa kwa vitendo.
Hilo silifahamu na wala sina uhakika nalo.
Labda jikite kwenye hoja ya msingi, Gambo ametenguliwa wewe na wenzanko kama wanachadema kindakindaki mtapata credit gani kisiasa?
 
Dogo Chadema hiyo hiyo unayoifagilia imeshindwa uchaguzi. Uchaguzi wa serikali za mitaa mlisusia sasa ulitarajia nini?
Kesi waliteseka nazo kwa kuvunja sheria za nchi. Hata bungeni walikuwa wanaenda wamevuta bangi na kunywa pombe kali ndio maana spika alikuwa anawatimua.
Hao wananchi wa Lindi wamefanyiwa makubwa sana kwa hiyo kuweka mfano wa Sgr au JNHPP inaonyesha namna gani unafikiria bila kutumia akili.
Hawakususa Bali Wagombea wao wengi walienguliwa kwa hila. Mengine iluwa ni mikakati ya kukidhoofisha kwa kufuatilia kila neno linalosemwa na viongozi wao mradi tu wabaini ujinai kwenye maneno yao.
 
Hilo silifahamu na wala sina uhakika nalo.
Labda jikite kwenye hoja ya msingi, Gambo ametenguliwa wewe na wenzanko kama wanachadema kindakindaki mtapata credit gani kisiasa?

Pitia nyuzi zote za huyo Gambo hapa jukwaani, uone kama nina hata post 2 nilizochangia kuhusu huyo Gambo. Ninajitambua boss, mimi nina tofauti kubwa sana na we hilo ufahamu. Ww umeanzisha kabisa thread kumuhusu huyo Gambo. Kama kuna mahali popote nimesema kuna credit yoyote cdm watapata kwa Gambo kutumbuliwa, basi ni report kwa mods nipigwe bani ya mwaka. Kwangu tume huru ya uchaguzi ndio kipaombele changu, na sio kwa wahuni wa siasa chafu kama kina Gambo.
 
Kwa hiyo unakubali kuwa wanachadema walianzisha nyuzi nyingi tu kufurahia Gambo kutenguliwa! Na kwa sababu wewe unajitambua ulijua hazina credit kwa Chadema ndio maana hukupost. Basi kubaliana na mimi kuwa walioanzisha hizo nyuzi hawajitambui. Walipaswa kuzungumzia mstakabali wa Chadema inayoweweseka.
 
Mimi sio msemaji wa wanacdm humu jukwaani, wala simpangii member yoyote cha kuchangia.
 
CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani nchini. Haipaswi kushupalia na kukaa mnafurahia kutenguliwa kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Mrisho Gambo

Sasa hivi nyie kama chama ambacho ni chama kikuu cha upinzani mlipaswa mtuonyeashe mna mikakati gani ya kuhakisha mtabaki kuwa chama kikuu cha upinzani.

Chama chenu kimechafuka mbele ya jamii. Tulitegemea mtueleze mtapangua vipi kashfa za ufisadi zinaowakabili za kuruhusu mwenyekiti wenu alipwe deni hewa zaidi ya bil 8.

Maana wananchi lazima watawahoji kama mlijinasibu kupinga ufisadi, mbona mliruhusu uchafu kama huu kufanyika?

Hata kama aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ametenguliwa nyie itawapa credit gani kwenye uchaguzi mkuu hapo October?

Hii inaonyesha Chadema hamna mkakati wowote wa kujikwamua baada ya kujua mmeshashindwa vibaya hata kabla ya uchaguzi. Maana mnajadili na kufurahia mambo ambayo hayawasaidii hata kidogo.

Na kwa mantiki hii msione aibu hata kukubali mapema kabisa kuwa CCM imewazidi kete kwa kila namna.

Sasa mnabaki kusubilia matukio yanaowahusu CCM na kuyageuza ishu za kujadili wakati haziwasaidii.
Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana , msiji Mwambafy
 
Watumishi hawajapewa nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano ya utawala wa Meko. Hawajapandishwa vyeo, wastaafu hawalipwi mafao yao wakati Meko anatumia fedha zao kuwagawia wanaCCM wenzie huko barabarani na makanisani. Huyu Rais ni dhalimu na utopolo fulani hivi.
 
Kwani chadema wametoa taarifa rasmi kama kufurahia hilo au ni wewe ndiye unaye watengenezea taarifa kwa mtizamo wako?!

Back
Top Bottom