Chama makini hakiwezi kushupalia suala dogo kama hili. Hii ni dalili sasa mmeshakubali matokeo

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani nchini. Haipaswi kushupalia na kukaa mnafurahia kutenguliwa kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Mrisho Gambo

Sasa hivi nyie kama chama ambacho ni chama kikuu cha upinzani mlipaswa mtuonyeashe mna mikakati gani ya kuhakisha mtabaki kuwa chama kikuu cha upinzani.

Chama chenu kimechafuka mbele ya jamii. Tulitegemea mtueleze mtapangua vipi kashfa za ufisadi zinaowakabili za kuruhusu mwenyekiti wenu alipwe deni hewa zaidi ya bil 8.

Maana wananchi lazima watawahoji kama mlijinasibu kupinga ufisadi, mbona mliruhusu uchafu kama huu kufanyika?

Hata kama aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ametenguliwa nyie itawapa credit gani kwenye uchaguzi mkuu hapo October?

Hii inaonyesha Chadema hamna mkakati wowote wa kujikwamua baada ya kujua mmeshashindwa vibaya hata kabla ya uchaguzi. Maana mnajadili na kufurahia mambo ambayo hayawasaidii hata kidogo.

Na kwa mantiki hii msione aibu hata kukubali mapema kabisa kuwa CCM imewazidi kete kwa kila namna.

Sasa mnabaki kusubilia matukio yanaowahusu CCM na kuyageuza ishu za kujadili wakati haziwasaidii.
 
CHADEMA ipi imeshindwa uchaguzi?

We unaishi wapi? Unajua yanayoe delea Tanzania?
-Unajua wanaCHADEMA walivyoteswa na kesi kwa miaka hi mitano?
-Unajua bungeni walivyonyanyaswa? Na CCM wakaamua kuzima bunge live na kuwapoka meno.
-Chaguzi ndogo CCM walishinda? Walishindana na nani?
-Uchaguzi serikali za mitaa CCM walishindana na nani?
-Leo umitokea uchaguzi, CCM wataenda kusema nini jukwwani Lindi, Sirari na Ludewa, maana SGR, stiglers George, ubungo fly over, na ndege havijaenda huko na havina tija kwa miaka hi mitano.

Jitafakari mkuu, uongo ni uchawi, unajua unadanganya kwa kuwa unanufaika na mfumo.

Kataa dhambi, uwe mkweli kwa MUNGU
 
Dogo Chadema hiyo hiyo unayoifagilia imeshindwa uchaguzi. Uchaguzi wa serikali za mitaa mlisusia sasa ulitarajia nini?
Kesi waliteseka nazo kwa kuvunja sheria za nchi. Hata bungeni walikuwa wanaenda wamevuta bangi na kunywa pombe kali ndio maana spika alikuwa anawatimua.

Hao wananchi wa Lindi wamefanyiwa makubwa sana kwa hiyo kuweka mfano wa Sgr au JNHPP inaonyesha namna gani unafikiria bila kutumia akili.
 
Dogo huwezi nielewa, wewe unanufaika na mfumo dhalimu, ni mgumu kuona ukweli, na ukiwa CCM hata uwezo wa kufikiri unakuwa finyu.
 
Wapi chadema kama chama kimetoa statement kwamba kimeshupalia mkuu wa mkoa kutenguliwa? Unaelewa taratibu za chama?
Wanachama na wafuasi wao ndio reflection halisi ya chama. Wewe hapo ni mmojawapo mliofurahia kama mwanachama wa Chadema.
 
Dogo huwezi nielewa, wewe unanufaika na mfumo dhalimu, ni mgumu kuona ukweli, na ukiwa CCM hata uwezo wa kufikiri unakuwa finyu.
Jibu swali sasa kama Gambo ametenguliwa nyie kama Chadema itawapa credit gani? Maana jana wanachama na wafuasi wa Chadema mmekesha mnafurahia.
 
Unaelewa kuwa katika nchi inayoheshimu katiba na utawala wa kisheria kila mwananchi ana haki ya kutoa maoni yake, mapendekezo yake na kadhalika katika mambo yanayoendelea nchini mwake bila ya kujalisha chama chake?
Kuna mtu kutoa maoni na kuna mtu kufurahia upumbavu ambao haumsaidii. Kama nyie wafuasi na wanachama wa Chadema
 
Kwa hiyo mimi kuwa mwanachama wa chama fulani inaninyima haki ya kufurahia au kuchukia dhidi ya mambo yanayoendelea nchini kwangu?
Inategemea unafurahia au kuchukia suala gani? Mfano hili la utenguzi wa Gambo ni upuuzi. Maana chama chenu kipo taabani.
 
Chadema kama chama kikuu cha upi zani nchini. Haipaswi kushupalia na kukaa mnafurahia kutenguliwa kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Mrisho Gambo

Sasa hivi nyie kama chama ambacho ni chama kikuu cha upinzani mlipaswa mtuonyeashe mna mikakati gani ya kuhakisha mtabaki kuwa chama kikuu cha upinzani.

Chama chenu kimechafuka mbele ya jamii.Tulitegemea mtueleze mtapangua vipi kashfa za ufisadi zinaowakabili za kuruhusu mwenyekiti wenu alipwe deni hewa zaidi ya bil 8.

Maana wananchi lazima watawahoji kama mlijinasibu kupinga ufisadi,mbona mliruhusu uchafu kama huu kufanyika?

Hata kama aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ametenguliwa nyie itawapa credit gani kwenye uchaguzi mkuu hapo October?

Hii inaonyesha Chadema hamna mkakati wowote wa kujikwamua baada ya kujua mmeshashindwa vibaya hata kabla ya uchaguzi. Maana mnajadili na kufurahia mambo ambayo hayawasaidii hata kidogo.
Na kwa mantiki hii msione aibu hata kukubali mapema kabisa kuwa CCM imewazidi kete kwa kila namna.

Sasa mnabaki kusubilia matukio yanaowahusu Ccm na kuyageuza ishu za kujadili wakati haziwasaidii.
Wapi Chadema wameshupalia suala la mboga kumwagwa? Hayo ya kwenu wenyewe, nyie ndiyo kutwa kucha hamna hoja zaidi ya Chadema, Mbowe na Lissu.
IMG-20191216-WA0001.jpg
 
Wewe hujui madhara aliyoleta Arusha mjini maana umekaa Lumumba, yule ni mhuni tu
 
Nyie mbona mlishupalia ishu ya Mbowe, tena bungeni badala ya kujadili bajeti mkawa mnamjadili yeye, kwahiyo mlikosa kazi za kufanya?
Yule alitumia pesa za walipa kodi kufanya anasa na Joyce Mukya,kisha akaanguka na kuwasingizia wasiojulikana. Hivyo wabunge wana haki ya kujadili maana alikiuka maadili.
 
Chadema kama chama kikuu cha upi zani nchini. Haipaswi kushupalia na kukaa mnafurahia kutenguliwa kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Mrisho Gambo

Sasa hivi nyie kama chama ambacho ni chama kikuu cha upinzani mlipaswa mtuonyeashe mna mikakati gani ya kuhakisha mtabaki kuwa chama kikuu cha upinzani.

Chama chenu kimechafuka mbele ya jamii.Tulitegemea mtueleze mtapangua vipi kashfa za ufisadi zinaowakabili za kuruhusu mwenyekiti wenu alipwe deni hewa zaidi ya bil 8.

Maana wananchi lazima watawahoji kama mlijinasibu kupinga ufisadi,mbona mliruhusu uchafu kama huu kufanyika?

Hata kama aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ametenguliwa nyie itawapa credit gani kwenye uchaguzi mkuu hapo October?

Hii inaonyesha Chadema hamna mkakati wowote wa kujikwamua baada ya kujua mmeshashindwa vibaya hata kabla ya uchaguzi. Maana mnajadili na kufurahia mambo ambayo hayawasaidii hata kidogo.
Na kwa mantiki hii msione aibu hata kukubali mapema kabisa kuwa CCM imewazidi kete kwa kila namna.

Sasa mnabaki kusubilia matukio yanaowahusu Ccm na kuyageuza ishu za kujadili wakati haziwasaidii.
Kwani Mbatia anasemaje na NCCR yenu?
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kwani Mbatia anasemaje na NCCR yenu?
Tunampongeza sana JPM na Ccm kwa yale wanayoyafanya. Maana kila mtanzania ndio alikuwa akiyataka. Kwa hiyo hatuwezi kuacha kuwa wazalendo na kupingapinga na kufurahia upuuzi ambao hauna tija.
 
Back
Top Bottom