Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,026
Hii hapa ni orodha ya vilabu vilivyochukua Ligi ya mabingwa barani Ulaya (UCL-UEFA CHAMPIONS LEAGUE) baada ya Jana PSG kubeba taji kwa kipigo cha mbwa Koko alichomshushia Inter Milan,Chama lako ni makombe mangapi mpaka sasa?