ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Tusisahau pia kuwa JK ameweka historia ya kuwa Rais wa kwanza kupigwa mawe akiwa madarakani .......Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.
Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kurushiwa mawe na kufukuzwa jukwaani kwa mabango.
Lipumba aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kupewa kibano na polisi.
Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kuwaamrisha polisi wawadhibiti wananchi na kuokolewa na kuhifadhiwa na polisi ili asidhuriwe.
Haya yote ni maendeleo...
Cc Mkirua
Tusisahau pia kuwa JK ameweka historia ya kuwa Rais wa kwanza kupigwa mawe akiwa madarakani .......
Dalili ni tosha, Chadema kinaanguka kwa kasi kubwa huku uhai wa chama unazidi kuteterereka pamoja na mifarkano inayotokea chamani kutokana na kuwepo uongozi wa KIIMLA unaoendekeza mgawanyiko wa wanachama kutokana na ukanda ukabila na udini.
Uongozi legelege katika chama umechangia kuwepo kwa maamuzi kufanywa na Mwenyekiti pamoja n Katibu Mkuu huku Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu Bara wakitengwa katika vikao vya maamuzi.
Yote yanayotokea hivi sasa yamesababishwa na ubabaishaji wa Mheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ambao wamegeuza CHADEMA kuwa taasisi yao wakifuata maelekezo ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei.
Ushauri wa bure kwa CHADEM, kaeni chini mjadili namna ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014
Hilo halijawahi kutokea...
Kaskazini ndiko yaliko yote mema ya dunia. Kaangalie ramani ya dunia uone maendeleo yako nchi zilizoko upande gani? Cheki hata Dar wilaya yenye maendeleo iko wapi?
Angalia hata rais wako JK katika siku zaidi ya 360 alizopiga misele nje kaenda nchi zilizoko wapi? Heshimi sana Kaskazink maana huko ndiko alikotokea hata nyerere aliyewakomboa.
Teh teh upo Tanzania hii???muulize nini kilimkuta mbeya!!!
Hivii MAREKANI iko upande gani mwa bara la AMERICA.Kama hujui ulizia hata kwa walimu wako wa geography ulikopita.Hebu angalia tena ramani ya Dunia halafu tuelekezane upya!
Huo ndo ukweli wenyewe. Maana halisi ya kaskazini kwa kila lugha ni zaidi ya tunavofikiria. Angalia mfano hata kwa sumaku tu uone maana halisi ya kaskazini.
Chama hakiwezi kuzama kwenye keyboard wewe.Dalili ni tosha, Chadema kinaanguka kwa kasi kubwa huku uhai wa chama unazidi kuteterereka pamoja na mifarkano inayotokea chamani kutokana na kuwepo uongozi wa KIIMLA unaoendekeza mgawanyiko wa wanachama kutokana na ukanda ukabila na udini.