Namna hii maendeleo Tz kuyafikia ni vigumu.Mradi mkubwa wa umwagiliaji ktk eneo la Ibanda/Igaka wilayani Geita umekwama kuanza kwa sababu Chama kimoja kikubwa cha upinzani kinaupinga kwa sababu za kisiasa.Mradi huo wenye thamani ya 2.5 bilioni endapo itafika 1/7/2017 haujaanza kutekelezwa,fedha zitarudi Hazina na kupangiwa kazi zingine.Chama hicho cha upinzani kinaamini kuwa,mradi huo ukitekelezwa,CCM eneo hilo itazidi kuimairika na kushindwa kuiondoa 2020(udiwani).Wanawadanganya wananchi kuwa Mradi ukikamilika watapewa Wachina walime miwa kitu ambacho siyo kweli.Mradi huo ni wa wananchi 100%.Kweli kama upinzani ni huu hatufiki mbali!