Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,843
Kwa mujibu wa vigezo vilivyotolewa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu mwaka huu,shariti mojawawapo ni muombaji asiwe mwajiriwa (employee).Pitia website ya Bodi kwenye Guidlines za kupata mikopo section 2.2.1 ujionee.
Swali langu ni kuwa,kama mtumishi anapaswa kujitegemea,inakuje vyama vya siasa, kikiwemo chama kikongwe kama CCM,kiendelee kupata ruzuku ya serikali?
Kwanini vyama hivi navyo sasa visijitegemee?
Alafu kwa mfano, chama kama ACT-Wazalendo na chama kama CCM, ni chama kipi kati ya hivi viwili kinastahili kupewa ruzuku kama kweli ruzuku hiyo ni muhimu?
Unawezaje kumlea mtu mzima wa miaka 55 ukamuacha mtoto wa miaka 2?
Hivi kati ya mtumishi na chama kikongwe kama CCM,nani anastahili kusaidiwa?
Hii kitu mbona haingii akilini?!