Chama Imara Hakiibi Kura.

Chikumba one

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
1,009
1,642
Chama chochote cha Siasa, popote pale Duniani kinachoingia madarakani kwa wizi wa kura kamwe hakiwezi kuwa na Serikali imara na yenye dhamira ya kweli ya kuisaidia Nchi. Wizi wa kura sio Uzalendo. Wizi wa kura hufanywa na vyama dhaifu, vilivyochoka na visivyokuwa na agenda ya kulisaidia Taifa husika.

Viongozi wake hufanya kila aina ya maigizo ili kupata uhalali. Kwa kawaida huongoza Nchi kwa mkono wa chuma ili kuzima hoja kinzani dhidi yao.
Hata Mwenyezi Mungu huchukizwa na Serikali za aina hiyo.

Tuombe haya yasitokee katika Nchi yetu. Bahati mbaya Taifa letu sio Kisiwa!
 
Back
Top Bottom