mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 841
- 1,668
walimu sijui ni watu waina gani kiukweli walipaswa kuchukua hatua thidi ya ichi chama wanakatwa pesa zao kila mwezi hela hazijulikani zinafanya kazi gani chama hakitetei maslai ya walimu zaidi ya kuwakandamiza na kuwanyonya wanaonufaika wachache kwakukopesha mamilioni ya hela lakini walimu wamekaa kimya ivi ninani aliye waloga nyie walimu tz?chama cha walimu sikielewi naona kinashabikia kufukuzwa walimu wakuu watakao kuwa na wanafunzi hewa! mbona kwenye watumish hewa wakurugenzi na wakuu wa idara tena wanaotumia makomputa maofisini mwao hawakufukuzwa kazi? iweje hawa wadogo tena wanatumia mfumo hafifu wa utunzaji data watishiwe nacho chama kushabikia? kiukweli mimi sioni kazi ya chama cha ualimu tunakatwa pesa ya bure tu!
Bila shaka wewe ni muwakilishi wa cwt ktk shule yakolkn walimu mkumbuke hakuna chombo kingine cha kukutetea ww unapopata tatizo zaid ya cwt. siku ukipata matatizo au kuwa na kesi mahakamani dhidi ya mwajiri wako ndo utautambua umuhimu wa cwt.
Kuna mahakama kuna wanasheria nk.cwt ni wanyang'anyi wa pesa zetu.mnatunyonya 2% ya mishahara yetu lakini hamwezi kututeta kwenye mambo ya msingi kama madai yetu na mishahara yetu midogo.lkn walimu mkumbuke hakuna chombo kingine cha kukutetea ww unapopata tatizo zaid ya cwt. siku ukipata matatizo au kuwa na kesi mahakamani dhidi ya mwajiri wako ndo utautambua umuhimu wa cwt.