Chama Cha Waislamu Duniani (MWL) Kimechukizwa na Kitendo Cha IRAN kushambulia Nchi za Waarabu

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,563
Reaction score
7,321
CHAMA CHA WAISLAM DUNIANI ambacho Makao Makuu yake yapo Mji Mtakatifu wa Makka umechukizwa na kusikitishwa na vitendo vya Iran kushambulia Mataifa ya Kiarabu ambapo wameita ni matendo ya kinyama kinyume na dini hivyo wameomba Jumuiya za Kimataifa ziungane dhidi ya Taifa la Kiislamu la Iran.

iran2-eng.jpg.webp
 
View attachment 3550564
It's simply Sunni vs Shia, nothing new.
 
Hizo nchi zinapigwa na Iran kwa sabb Iran wame-target military bases za USA zilizopo katika nchi hizo.

Hizo military bases zipo karibu na nchi ya Iran, so ni tishio kwa Iran hususani kipindi hiki cha vita, maana USA atatumia hizo kambi kuishambulia Iran kwa fighter jets, drone na missiles.

Nadhani Iran anajaribu kujilinda na kujihami kwa kupunguza vituo vya kijeshi vya USA vinavyoweza kutumiwa kuishambulia Iran kwa makombora, drones na fighter jets.

"Mtu anayemsaidia adui yako, technically huyo mtu naye ni adui yako."

Anyway, ngoja tuendelee kucheki mambo yatakwendaje. ila civilians ndio watakaoathirika zaidi
 
Sidhani kama hii n taarifa ya kweli, Kwann wanatumia lugha ya kikafiri ya Kingereza na kuacha lugha ambayo Allah anaongea ya kiarabu 😂

Anyway, asante Mungu kwa kuifanya USA kuwa mbabe wa dunia, bila hivyo dunia ingekuwa uwanja wa vita
 
Huu ndio mwisho wa utawala wa kidikteta wa Iran. Iran kuwa adui wa mataifa yote ya kumzunguka, kunaifanya kuwa kwenye wakati mgumu sana katika kupata mafanikio yoyote kwenye vita hiii.
 
Hizo nchi zinapigwa na Iran kwa sabb Iran wame-target military bases za USA zilizopo katika nchi hizo.

Hizo military bases zipo karibu na nchi ya Iran, so ni tishio kwa Iran hususani kipindi hiki cha vita, maana USA atatumia hizo kambi kuishambulia Iran kwa fighter jets, drone na missiles.

Nadhani Iran anajaribu kujilinda na kujihami kwa kupunguza vituo vya kijeshi vya USA vinavyoweza kutumiwa kuishambulia Iran kwa makombora, drones na fighter jets.

"Mtu anayemsaidia adui yako, technically huyo mtu naye ni adui yako."

Anyway, ngoja tuendelee kucheki mambo yatakwendaje. ila civilians ndio watakaoathirika zaidi
Niambie bases ngapi zimepigwa na madhara gani yamepatikana?

Irani anajipigia tu shemu yeyote akiona hata jengo inawaka moto yeye anafurahia wakati wenzio wanalenga panapouma
 
Hebu fatilia halafu ulete mrejesho kuhusu hizo bases.

"nchi inayomsaidia adui yako ili akupige, technically hiyo nchi naye ni adui yako"

Ningekuwa ni Rais wa USA ningeipiga Iran,
pia vile vile ningekuwa ni Supreme Leader wa Iran ningezipiga nchi zote zilizo jirani zinazosaidia majeshi ya adui yangu.

Vita ipo hivyo, that's why vita sio kitu kizuri coz vita haina macho na haichagui.
So, tegemea casualties zinaweza kutokea kwa makundi yote (iwe ni innocent civilians, state leaders, soldiers, etc.) kwa nchi zote ambapo vita ipo (battlefield)
 
Ngoja wanyoshane kidogo...

Cc: Mahondaw
Hizo nchi zinapigwa na Iran kwa sabb Iran wame-target military bases za USA zilizopo katika nchi hizo.

Hizo military bases zipo karibu na nchi ya Iran, so ni tishio kwa Iran hususani kipindi hiki cha vita, maana USA atatumia hizo kambi kuishambulia Iran kwa fighter jets, drone na missiles.

Nadhani Iran anajaribu kujilinda na kujihami kwa kupunguza vituo vya kijeshi vya USA vinavyoweza kutumiwa kuishambulia Iran kwa makombora, drones na fighter jets.

"Mtu anayemsaidia adui yako, technically huyo mtu naye ni adui yako."

Anyway, ngoja tuendelee kucheki mambo yatakwendaje. ila civilians ndio watakaoathirika zaidi
Burji Khalifa pia ilipata shambulio kidogo... kwani burji Khalifa ni military base
 
Sidhani kama hii n taarifa ya kweli, Kwann wanatumia lugha ya kikafiri ya Kingereza na kuacha lugha ambayo Allah anaongea ya kiarabu 😂

Anyway, asante Mungu kwa kuifanya USA kuwa mbabe wa dunia, bila hivyo dunia ingekuwa uwanja wa vita
Acha kubisha kama hujui kitu

Hipo barua ya kiarabu, kiespania, kifaransa na lugha nyingine. Mimi ndio nimechukua iliyoandikwa kiingereza.

Kwenye hiyo website yao ya The Muslim World League Condemns Iranian Aggression Against the Sultanate of Oman kuna sehemu unabadili lugha na kuletewa kila kitu hadi barua kwa lugha uliyochagua. Mfano hii hapa barua ya kiaarabu ambayo ni sawa na hiyo ya kiingereza

Screenshot_20260302_070602_Chrome.jpg

Lugha nyingine hiyo hapo chini

Screenshot_20260302_070539_Chrome.jpg
 
Hizo nchi zinapigwa na Iran kwa sabb Iran wame-target military bases za USA zilizopo katika nchi hizo.

Hizo military bases zipo karibu na nchi ya Iran, so ni tishio kwa Iran hususani kipindi hiki cha vita, maana USA atatumia hizo kambi kuishambulia Iran kwa fighter jets, drone na missiles.

Nadhani Iran anajaribu kujilinda na kujihami kwa kupunguza vituo vya kijeshi vya USA vinavyoweza kutumiwa kuishambulia Iran kwa makombora, drones na fighter jets.

"Mtu anayemsaidia adui yako, technically huyo mtu naye ni adui yako."

Anyway, ngoja tuendelee kucheki mambo yatakwendaje. ila civilians ndio watakaoathirika zaidi
We jamaa muongo kwenye hizo bases marekani ameondoa wanajeshi wake na vitu muhimu vyote! Mashambulizi yanatokea kwenye carriers na Israel! Ukipiga makombora kwenye nchi yoyote unakuwa umeviolate territorial integrity ya nchi husika kitu kibaya zaidi nchi hizo hazina ugomvi na Iran!
 
Okay mimi ni muongo na wewe ni mkweli, hivyo tuliza mihemko, fatilia utajua kwa nini zinapigwa.

Binafsi, ningekuwa Rais wa USA ningeipiga Iran,
vile vile ningekuwa Supreme Leader wa Iran pia ningepiga hizo nchi za Middle East zinazoisaidia USA.

Tuliza mihemko na utaelewa "why?".

Hata hivyo, vita sio kitu kizuri na sisapoti vita, ila ningekuwa "in power" ningefanya hivyo
 
Burji Khalifa pia ilipata shambulio kidogo... kwani burji Khalifa ni military base
Naomba nikujibu kwa kukuuliza pia swali..

Je, kwani sehemu zote za Iran zilizoshambuliwa zilikuwa na kambi za kijeshi za Iran?

It is a war, so tegemea chochote. Hata makombora yaliyotua Iran sio yote yamepiga kambi za kijeshi, mengine yametua kwa raia pia.

Na sehm zingine hupigwa kimkakati tu ili kuipresha nchi jirani yako isijihusishe wala kusapoti kumpa hifadhi adui adui yako ili akupige.

Narudia kusema hivi👇🏽.
"ningekuwa Rais wa USA ningeipiga Iran,
pia vile vile ningekuwa Supreme Leader wa Iran ningepiga pia majirani zangu wanaomsaidia adui yangu kwa kumkupa hifadhi ili anipige"

It's a simple reasoning tu hiyo, haihitaji hata uwe na diploma ya international relations au public administration.

by the way, vita sio kitu kizuri
 
Fuatilia makombora mangapi yameanguka maeneo ya raia
Burji Khalifa pia ilipata shambulio kidogo... kwani burji Khalifa ni military base
Je una hakika gani kwamba Burj Al Arab haitumiwi na wanausalama wa USA kupanga mashambulizi?
CHAMA CHA WAISLAM DUNIANI ambacho Makao Makuu yake yapo Mji Mtakatifu wa Makka umechukizwa na kusikitishwa na vitendo vya Iran kushambulia Mataifa ya Kiarabu ambapo wameita ni matendo ya kinyama kinyume na dini hivyo wameomba Jumuiya za Kimataifa ziungane dhidi ya Taifa la Kiislamu la Iran.

View attachment 3550564
Hapa mjanja ni USA, yeye yupo mbali sehemu ambapo makombora hayawezi kumfikia.

ila Je kwa mfano nchi ya Cuba, Mexico au Venezuela kama ingekuwa na kambi za kijeshi za Iran.
Je unataka kuniambia kwamba USA asingezishambulia Cuba, Mexico au Venezuela? 🤔

Maana Cuba na Mexico ni jirani na USA hivyo ni rahisi kuitumia kuishambulia USA.

Kinachowaponza majirani Bahrain, Qatar, Kuwait, UAE ni wao kumpa hifadhi USA (ambaye ni adui wa Iran) wakati huu wa vita.

Tusisahau, adui yako akimtumia jirani yako vizuri basi ni rahisi kuupiga.

Hata Russia kwa Ukraine wanachopambana nacho ni hiki hiki, hawataki jirani (Ukraine) atumike na adui yao (USA)

anyway, sisapoti vita, ila it is what it is, ni simple reasoning tu hii
 
Back
Top Bottom