Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,267
😂 😂 😂Habari wadau! Kuna chama kama hiki nimekikuta Somewhere. Hiki ni chama cha wanaume walioachana na wake zao au wachumba wao sasa wanaishi maisha yao. Hiki chama watu wanafarijiana kiasi kwamba hata kama mtu kaja na maumivu yake ya kuachwa yanafutika maana kuna maisha mengine ya furaha baada ya watu kuachana. Hiki chama kitaweza kuwasaidia watu kisaikologia ili mtu aweze kumove on kuliko kukaa na mawazo kumuwaza mtu asiyemjali. Kama mtu kaumizwa na mapenzi karibu tukushauri ili uweze kumove on na kuenjoy maisha.
Betri zuri lisiwe sealed maana likiwa sealed huwezi kurepair kwa kubadilisha acid.Weka betry sealed.
Penzi kitovu cha uzembe......Kuna watu bado wanapata stress za mapenzi hadi leo? Karne hii
Link ni hii thread. Kama una mkasa leta tutautatua na kukufariji. Wachomolewa betri mabaharia wapo humu.Tuma link tujoin mkuu
SanaPenzi kitovu cha uzembe......
Ukiona haupat stress dada ushakua malayaKuna watu bado wanapata stress za mapenzi hadi leo? Karne hii
Kuna watu bado wanapata stress za mapenzi hadi leo? Karne hii
Na wew!!!!Tuma link tujoin mkuu
Uwe umecholewa betri tu. Hapo utakuwa mwanachama by default.Vigezo vya kuwa mwanachama ni vipi
Ndiyo rafiki, kwanini isiwe mimi?😜Na wew!!!!
[emoji38]Ndiyo rafiki, kwanini isiwe mimi?[emoji12]
Chama kikipata members wengi humu tutaandaa uongozi na pia get together party ya wacholewa betri. Champains zitafunguliwa kwa furaha zote........Uwe umecholewa betri tu. Hapo utakuwa mwanachama by default.
Pua yako! Mi naumia huku nimeachwa wewe unachekelea😀 na utabaki huko huko kwa friendzone 😏[emoji38]
Ndio ukome,
We si uliamua kunifriendzone.
Hakuna haja ya kuumia wachomolewa betri wapo humu. Tutaandaa event ya kukutana.Pua yako! Mi naumia huku nimeachwa wewe unachekelea[emoji3] na utabaki huko huko kwa friendzone [emoji57]