ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 620
- 1,543
Die Linke kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Azimio la Arusha
Jumamosi, Machi 25, 2017 Chama cha ACT Wazalendo kitafanya Mkutano Mkuu Maalum wa Kidemokrasia wa kuadhimisha miaka 50 ya Azimio la Arusha. Mkutano huo utafanyika Jijini Arusha katika Ukumbi wa Hoteli ya Corridor Springs.
Miongoni mwa wageni waalikwa watakaohudhuria mkutano huo, ni pamoja na Bi Katrin Voss - Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Chama cha Kijamaa cha Ujerumani (Die Linke).
Kama ACT Wazalendo, Die Linke ni chama kinachofuata itikadi ya Ujamaa wa Kidemokrasia na pia ndio chama Kikuu cha Upinzani katika Bunge la Ujerumani (Bundestag) kikiwa na Wabunge 64.
John Patrick Mbozu
Katibu wa Kamati ya Mambo ya Nje - ACT Wazalendo
Machi 22, 2017