Chama cha Riadha kimeanza ubabaishaji mapema

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Makala hii ilichapishwa katika Mwananchi, Jumatatu 2 Juni 2014...
 
Tatizo letu sisi wabongo hatuwezi kutofautisha kati ya siasa na utaalam.. Sehemu ya ujuzi sie twaingiza siasa..
 
uzuri Anthony Mtaka yupo humu aje kufafanua.

Hajaja na sidhani kama anaweza kuja, nimefuatilia profile yake humu jamvini nikaona kuwa huwa anachangia sana mijadala ya siasa, tena ile ambayo imekaa kipropaganda za CCm vs CHADEMA. Tumemkosa mkuu...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…