Chama Cha Mapinduzi-huruma!


Huko kuvurugwa herufi ndo kubwa, njoo kipya achana na chakavu.
 
Tatizo morogoro ni wanafiki! Ni mkoa ulioongoza kwa kuchagua magamba

mm naona wameshajutia aisee! hawarudii! alafu mkuu, si ukweli kwamba waliwachagua, ukipeleleza vizuri utapata tu ukweli, ni ufisadi tu ulifanyika.
 
Bavicha bana badala ya kumuonea huruma Dr.Slaa anavyochezea vitasa Kigoma

Dr slaa yuko safi hatuna haja ya kumuonea huruma wakati magamba ndio mnawapa watu pesa wavuruge mikutano ya dr slaa. Fisiemu aka magamba ndio wakuonea huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…