Chama cha Mapinduzi(CCM) Taifa kimemteua Christopher Chiza kuwa mgombea wa Buyungu

Safi sana. Umoja ni Ushindi. Tunawasubiri kwa hamu chadema na act kwwnye ushirika wao
 
Hilo jimbo halina vijana,mtu over 60yrs bado anataka yeye tu,alishakula ubunge,uwaziri na vyeo kibao bado anataka,Huyo Chiza kweli ana damu ya CCM kutaka kila siku iongoze yenyewe tu!!
Ubinafsi umemjaa!!
 
Hii slogan ya chama chenu uchwara ndo mmeweka kwenye ndege zetu
 
dar es salaam maeneo yote ya mbezi beach hayana maji tangu jumamosi . hapa kazi tu au uzuzu?
 
dar es salaam maeneo yote ya mbezi beach hayana maji tangu jumamosi . hapa kazi tu au uzuzu?
Mbona wenzio tunanunua kwenye Magari tunajaza Matenki na tunatumia wewe hiyo akili Imekushinda. Hapa Kazi tu
 
Amekuwahi mwenzako kuipokea buku 7 kuhusu taarfa ya huo uzi
 
Mbona wenzio tunanunua kwenye Magari tunajaza Matenki na tunatumia wewe hiyo akili Imekushinda. Hapa Kazi tu
mke yule wa mfalme alichungulia dirishani ... akaona watu waandamana akauliza wale wanataka nn? akambiwa mkate.... akasema si wakale keki! (french rev. )
 
mke yule wa mfalme alichungulia dirishani ... akaona watu waandamana akauliza wale wanataka nn? akambiwa mkate.... akasema si wakale keki! (french rev. )
Yeah Fuckk off your hell ass, Mbezi beach is not for everyone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…