Chama cha Kilaghai Tanzania...

ndugu kikongoti na kitendo cha kutulaghai kwa kutuahidi maisha bora kwa kila mtanzania hapa nimlaumu nani. ni chama kizima na mfumo wake. mshika bendela kiongozi wenu JK alisema kwa niaba ya chama. Hatutaki mfumo mzima watu mmoja mmoja sio tatizo; wanaweza kuwekwa sawa lakini sio mfumo ccm. DAWA NI KU-DELETE
 

Ccm at work. Ama kweli down under man at work.ulipotelea wapi au ulisha kubali kushindwa .angalau sasa umepata matumaini mapya .usijitese bure ccm out 2015 nilazima .Chadema tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu .
 
Kwa kifupi CDM na CCM Ni vyama dhaifu Na vibovu ambavyo havina uwezo kutuletea maendeleo tunayotaka. Hii imedhihiriks na uongozi wa mabavu uliopo ndani ya hivyo vyama. Ushauri wangu ni wananchi kudai wagombea binafsi kwenye kila nafasi ya uongozi ilitupate viongozi ambao hawatabanwa na sera za vyama vyao kudai maendeleo ya wananchi wao. Naombeni mkumbuke Tanzania tuna hali mbaya kwenye sekta ya elimu, afya na ajira na sioni tukifanikiwa kwa kutegemea serikali ya CDM au CCM kwasababu nilizozitaja japo juu.
 
Kwanini usiwaelimishe wa Lumumba kwanza ili waache kuimaliza nnchi kwa ufisadi

Mkuu usizungunzie issue ya ufisadi tena kwa mtazamo huo. Hata CDM haina tena nguvu hizo sasa na baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…