Chama cha Kilaghai Tanzania...

Kaa huko huko Ccm chama cha wezi nawachawi wenzio.Au kama hauitaki Chadema koroga Fragile unywe na bia,au hama nchi kabisa kwa sababu sisi tunaipenda na wanakwenda kukabidhiwa nchi nasisi Watanzania kupitia Ukawa
 
tunaelimisha na wenginei information is power
Kabisa mkuu hawajamaa hawataki kuelezwa ukweli, ila lazima watambue chama chao kina haribiwa na watu 2 juu, lakin lazima watambue kuwa chuki haina nafasi kwa sasa, hata wakimdharau leo zitt wajue sileotu kuja kujua mabaya ya viongozi wao
 
:glasses-nerdy:CCM ni kapu lililojaa wanyama waharibifu kama, Nyani, Nguruwe, Nyoka, Kupe, Kunguni, Fisi nk. Siwezi na sijawahi nahaitatokea nikajiunga na ccm. Na mwaka huu hatuwaachi, mkiiba kura ni lazima tuwamalize kwa kuwafukuza madarakani kijeshi. Hatutajali kuwa wakuu wa jeshini mnakula nao, ila tutawapiga frankly. Stay tuned. :smow:
 
ACT wameanza ku recycle propaganda za CCM.

Hii thread sasa imekuwa ya ACT aka vibaraka wa CCM,

Hii thread eti leo tunalaghaiwa na ACT kuwa ni mpya namna hii [h=1]Topic: Siipendi chadema kwa kuwa ni chama cha kilaghai mno[/h]


Si huyu tu, yuko na HAMY-D ambaye ni mwana CCM aliyeweka na nembo ya akipendacho kwenye profile yake


Huyu HAMY-D, mwana CCM na mwana ACT kwa wakati huo huo, amefungiwa tokana na ulagahi wake wa kupost uongo.


Ushahidi wa ulaghai wa mwana ACT/CCM ni huu hapa:



Again hii inathibitisha kuwa ACT ni mradi wa CCM, na pia kuwa ACT ni walaghai na wasaliti wa mabadiliko
 

Attachments

  • Assad.PNG
    25.3 KB · Views: 583
  • invisible.PNG
    24.8 KB · Views: 579
Last edited by a moderator:
copy assadsyria3, ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:
Kutoka ZeMarcopolo mpaka assadsyria3 UTAUMBUKA KAMA MWENZIO SIMBAKIBOGOYO

Wana CCM ndio watetezi wakuu wa ACT alafu wote wa dini moja.

UDINI BADO TATIZO LETU.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanaishi na kupata posho yao kws sababu ya CHADEMA. So uko kazini ile id yako nyingine umeiacha?

Unamaanisha ile ya Simbakibogoyo!Mmh kaazi kweli kweli.
 
Kabisa mkuu hawajamaa hawataki kuelezwa ukweli, ila lazima watambue chama chao kina haribiwa na watu 2 juu, lakin lazima watambue kuwa chuki haina nafasi kwa sasa, hata wakimdharau leo zitt wajue sileotu kuja kujua mabaya ya viongozi wao
Hakuna ukweli wowote ni propaganda tu; Waleta mada wenyewe wamekiri ni propaganda ili wakulaghai wewe ambaye hutafakari.

Wanakiri kuwa kutokana na propaganda hiyo, wako watu wameunga mkono kwa kuamini propagandahiyo
Kuna wengi wanamuunga Zitto mkono kwa sababu ya propaganda hii hii ya ki CCM, udini. Wanamuunga Zitto mkono na kuwachukia Mbowe na Slaa kwa sababu ya dini tu bila kutafakari zaidi.

Kwa bahati nzuri assadsyria3 naye ni supporter mzuri wa watu wa imani yake (mdini sana), na amekopy na kupaste hii bila kucheua,

naye anakiri kuwa udini ni propaganda iliyotengenezwa kilaghai
 

Moja kwa moja kwa mawazo haya wewe ni mwanajumuiya wa ACT, wale waliopora chama kutoka mikononi mwa wenzao, waliopora jina la chama cha wakulima Tanzania.. tumeshawazoea ila mtakufa kifo cha CCJ soon..
 
mbn unahangaika km uko leba

Mkuu, mlituaminisha kuwa nyie ni akili kubwa, mbona MNA copy na Ku paste tu?

Hii akili ya kukopi hadi nukta (plagiarists) mmeanza lini.

Mbona hukukiri kum copy zemarcopolo. Unajaribu kutulaghai?
 
Tuliojitambua mapema tumeshajitoa.Chadema ni chama cha kilaghai kinachoendeshwa na wahuni wapenda madaraka
 
Waswahili husema ukweli huwa haupotei.

Kwa haya yanayoendelea wote tunashuhuia ulaghai wa Chadema.

Wenye macho wameona, wenye masikio watasikia.
 

Mkuu, Chadema ulaghai wao sasa si siri tena. Kenge kamwe hawezi kuficha mkia wake...
 
Waswahili husema ukweli huwa haupotei.

Kwa haya yanayoendelea wote tunashuhuia ulaghai wa Chadema.

Wenye macho wameona, wenye masikio watasikia.
ilani ya chama CCM 2010 "maisha bora kwa kila mtanzania" sijui kilimo kwanza. sasa tunajionea kilimo mwisho, maisha ya shida kwa watanzania. Yani mmelaghai jumla kwa kusingizia mambo kibao kumbe chini ya uvungu mnapiga ESCROW. Watanzania tulisikia na kuona pia. kuna ulaghai mkubwa zaidi ya huu. Hapa ukiniambia chama kipi ni cha kilaghai nijibuje. CCM punzikeni kwanza tuipe UKAWA SERIKALI na nyie muonje adha ya kuitwa wapinzani. kitengo lumumba na ACT yenu mtafurukuta sana kuipaka matope CDM na UKAWA lakini wananchi sasa ni waelewa. Sijui safarii hii Chenge atawatengezea kauli mbiu gani mje nayo. tuwazike vizuri
 
Hoja zako zilihitaji uwe dispassionate kidogo. Ungejikita zaidi kwenye watu ambao ni walaghai ndani ya Chama husika badala ya kutumia sifa za baadhi ya watu ndani ya chama na kuzifanya sifa za chama. Kwa mfano, kama ndani ya CCM kuna mafisadi, wezi, nk haimaanishi chama chote ni cha kifisadi au cha wezi. Ili kujua chama ni cha kilaghai au cha wezi angalia katiba zao, sera, ilani, na itikadi. Mfano mwingine ni kama ilivyo katika dini. Kuna waislamu na hata wakristo ambao ni magaidi. Lakini hii haimanishi dini hizi ni za kigaidi. Ujengaji hoja wa namna hii umekaa kichochezi na unaalika mashambulizi kutoka kwa wanachama wengine. Jukwaa hili tusilitumie namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…