Chama cha Kilaghai Tanzania...

Ujinga tu unakusumbua au na wewe ni miongoni mwao uzao wa Yuda Isikariote?
 
Kuna watu wanaishi na kupata posho yao kws sababu ya CHADEMA. So uko kazini ile id yako nyingine umeiacha?
 
Assadsyria acha upumbavu nani kakutaka ukipende?huna hoja kaa kimya mafisadi utawajua tu
 
hizo akili za kibawacha
Siipendi CCM. Nichama cha mafisadi waliofilisi nchi hii na kuifikisha hapa ilipo. Wameuza nchi yetu na mali ya asili yetu kwa wageni wanaowaita wawekezaji na kuwaacha wazawa hoi! Bado wanataka eti wachaguliwe tena ili waendelee kufisadi kile kilichobaki. Siwapendi kabisa!
 
Sasa kilio cha nini kama haukipendi CHADEMA, it's simple, achana nayo. Kwani umelazimishwa kukipenda?
 
Tofauti ya chadema na CCM ni kwamba CCM ni chama tawala na Chadema ni upinzani. Ikitokea siku chadema imekamata nchi, wataendeleza uchafu uleule wa ccm...stay tunned
 
Ndugu zangu chonde chonde, kwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii, hawezi kuwa mstari wa mbele kudidimiza upinzani, ili kuwe na nidhamu kwa walioko madarakani ni lazima Kuwe strong opposition side. lakini kwa akili za baadhi yetu yuko radhi upinzani ufutike, then niwaambie tu ukweli kuwa kama una mawazo hayo, kwangu mimi ninavyoona umepotoka.
 

hatuwezi kuruka tukanyage mavi
 

Huna impact ya aina yoyote mkuu, just rest in peace. huwezi tumikia mabwana wawili kama ilivyokwa binadamu hutuwezi kuishi tukiwa tumekufa, kadhalika nawe huwezi kuipenda cdm wakati unaipenda cccccmmmmmmm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…