Katika kikao cha RCC kilichofanyika hivi karibuni,mwenyekiti wa ccm wa mkoa wa Mtwara aliishambulia CUF kwa madai eti wao ndio wamechochea wananchi wa mtwara kukataa gesi kupelekwa dar.
Akijibu hoja hiyo kwa vyombo vya habari naibu katibu mkuu wa chama hicho amedai kuwa CUF inalaani vitendo vya uvunjifu wa amani lkn serikali lazima iwasikilize wananchi maana CUF inaamini katika HAKI SAWA KWA WOTE hivyo watu wa mtwara wanahaki ya kunufaika kupitia gesi na si kuendele kudharauliwa na kutotendewa haki kama wanavyo fanyiwa dhulma ktk zao la korosho ,hivyo haki ikitendeka wstu watatulia.
CUF ndio mkombozi wa kweli ea taifa letu kwa hoja mskini hasa katika masuala ya uchumi ambao ndio tatizo sugu la Africa. Mtwara ngangariiiiiiiiiii.............?