Unaishi Dar sehem gani ili nikuelekeze hospital iliyo karibu na weweMajibu ya swali kwanzaaa
Nenda Regency iko mnazi mmoja ikiwa utakuwa na Bima ya NHIF utasaidika kirahisi ila tofauti na hapo andaa atleast laki moja ila ukiwa na bima nenda na elfu kumi tu ya kufungulia jarada .Jmn daktari yoyote anisaidie hasa kwa dar es salaam chalazion surgery kwenye hospitali za serikali ni shingapi
Please wakuuView attachment 2515681
Regency mnazi imehamia lini?Nenda Regency iko mnazi mmoja ikiwa utakuwa na Bima ya NHIF utasaidika kirahisi ila tofauti na hapo andaa atleast laki moja ila ukiwa na bima nenda na elfu kumi tu ya kufungulia jarada .
Ulijua naishi hewaniiiMsumbufu sana wewe jamii forum kumbe unaishi magetoni
View attachment 2515687
Nenda Visio Eye Clinic ipo Mikongeni.Gongo la Mboto
Hapana ni private ndugu.Penye bimaa apoo Dah
Io ni ya serikali mkuu