Chakula Gani yakuepuka kula kitambi isitokee

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,113
3,485
Habarini wana Jamvi.

Aki nimetoka kufunga swaumu imenishape kwakweli. Mana nilikua nimefura tumbo iko kama meneja wa epa kitu sio poa kwa kijana kama mimi. Hata nikajaribu ku excise but do zangu ziliisha kwa gym bila kupata matokeo.

Sasa ilivyoingia mfungo aki nimekua flat venye ninapenda niwe. Ila ndio tushafungua mfungo umeisha sasa nataka niwe selective kwa chakula ili nisirudie ile hali ya zamani.

Naombeni basi mnieleweshe mchanganyiko gani wa chakula unajaza tumbo lina kua bonge ili niuepuke.
Na aina gani ya chakula ni advisable haijazangi matumbo.

Nitashukuru kwa michango yenu wanajamvi.

Asanteni
 
Epuka wanga, kula zaidi mbogamboga matunda, protein. Wanga iwe kidogo sana au hata usipokula. Fanya mazoezi kila siku at least 30 minutes kila siku
 
Mkuu njoo ujipatie @CHIASEEDS

 
Epuka carbs kwa wingi
 
Unafahamu tofauti kati ya thread, post, comment, reply na like?

kwa sisi tulosoma programming thread post na comment ni vitu tofauti kabisa labda like tu ndio inaweza ikawa inafanana na mambo mengine, what are you trying to say ?
 
Unafahamu tofauti kati ya thread, post, comment, reply na like?

Yaaah sijakosea ni thread imebeba comment yako so hata nikisema thread ni sawa tu sababu comment yako ni subclass ya parent class ambayo ni thread...utanisamehe bure mkuu ila kweli kwene thread tofauti nimeona izo vitu...nothing wrong here
 
Asubuhi ukipa maziwa + karanga ; mchana piga msosi wa kawaida plus matunda jioni usile msosi wowote labda kongoro plus matunda either karanga matunda pia unaweza ukapga na parachichi zima ili usipate njaa; kikubwa kula vizuri asubuhi na mchana jioni usile wanga wowote maana ndio chanzo cha sukari na kitambi
 
Nami kitambi kinaninyima raha yaani nikiwa na balance ya US dollar 5000 tu basi lzm kinijie
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…