ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,085
- 3,434
Habarini wana Jamvi.
Aki nimetoka kufunga swaumu imenishape kwakweli. Mana nilikua nimefura tumbo iko kama meneja wa epa kitu sio poa kwa kijana kama mimi. Hata nikajaribu ku excise but do zangu ziliisha kwa gym bila kupata matokeo.
Sasa ilivyoingia mfungo aki nimekua flat venye ninapenda niwe. Ila ndio tushafungua mfungo umeisha sasa nataka niwe selective kwa chakula ili nisirudie ile hali ya zamani.
Naombeni basi mnieleweshe mchanganyiko gani wa chakula unajaza tumbo lina kua bonge ili niuepuke.
Na aina gani ya chakula ni advisable haijazangi matumbo.
Nitashukuru kwa michango yenu wanajamvi.
Asanteni