Averos JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 994 Reaction score 703 Dec 13, 2021 #1 Usiku ni muda wa kupumzika. Wakati wa kupumzika mwili hautakiwi kufanya kazi ngumu ya kusaga chakula. Kula vyakula vinatakavyokupa afya na kukupa nguvu asubuhi.
Usiku ni muda wa kupumzika. Wakati wa kupumzika mwili hautakiwi kufanya kazi ngumu ya kusaga chakula. Kula vyakula vinatakavyokupa afya na kukupa nguvu asubuhi.
L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,842 Reaction score 6,976 Dec 13, 2021 #2 Safi kabisa,nimependa sana hii