Chakula cha usiku kwa wanandoa

Hivi ulimaanisha kweli kuuliza hili swali au??!
 
Maswali mengine bana......
Ni hivi: unatakiwa ugonge kila siku. Kama umegundua huwezi, basi tafuta tiba uongeze libido na nguvu pia
 
Siku hizi kila kitu kinaulizwa basi hata muda wa ku do na mkeo unauliza?..kwa hiyo tukushauri pia muda wa wewe na mkeo kupata hamu ya sex?..kwa mfano tukikuambia fanya kila jumamosi halafu wewe na mkeo mkajisikia kufanya jumatatu utafanyaje

nimelipenda hili jibu!!
 
Juzi kati tulikuwa na mabishano ama mkanganyiko wa mawazo kijiweni kwetu, kuwa wanandoa wa siku hizi kutokana na michepuko kuwa mingi, busy lifestyle kuchelewa kurudi home na kuwahi kuondoka asbh, wanandoa wanakuwa hawana hamu na tendo la ndoa.watu walichangia mengi ila wapo waliosema kwa mwezi mara moja, wengine kwa wiki mara moja etc. Pia wanasayansi kwa utafit wao wanasema wanandoa
 
Wakifika umri huo uliotajwa hapo hamu ya sex inapungua. Ndo mana thread hii ikauliza formula ikoje kwa kuzingatia umri na lifestyle?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…