Chakula cha ubongo: Lumumba University vs Ufipa University

Hypothetical facts.
 

yaani kama ni ukweli

Mbowe anakuwa ama mfagizi au mlinzi

CCM kule...wana vichwa vikali kielimu na wana vilaza wengi pia, kwa sababu wako wengi, top leader ya CCM wamesoma zaidi ya chadema!!
 
Hapa lazima wazalishe vihiyo sana kwa list ya UFIPA
 
Chama kitawezaje kuanzisha chuo wakati hakijajenga hata jengo la room moja la ofisi kokote nchini? Acha vichekesho mkuu, kwa Rumumba inawezekana maana wanaweza kutoa hata moja ya majengo yake wakayafanya chuo na wataalamu wanao kuanzia wataalamu wanaofundisha vyuo vikuu huku wakiwa makada. Chadema inatamani kukimbia wakati hata kutambaa haijaweza
 
Kwa upande wa 'lumumba' watukuwa ni vijana wa njaa kali na mbaya na sio uwezo wa kujenga hoja na kuona mbali kama itakavyokuwa wa 'Ufipa'.
 
Kwa hiyo hao Ufipa University wana majengo? Au ni kile kibanda chao pale ufipa ndio watakapokutana. Lile jina la yule mnyama linawafaa sana hawa jamaa

 
Kino kino baba.,
UFIPA.............
 
Lumumba university ni lazima ufaulu as long as una kadi ya ccm...hata bashite atapatia PhD pale
 
Watakachofanikiwa Lumumba ni kupewa majibu ya mitihani ili wafaulu kiurahisi na mavyeti kololo na Ma PhD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…