Chakula cha mchana,karibuni!

Huo ugali hata mtoto wa miaka 5 hauruki..! alafu wewe unakula peke yako! duh kuna watu ni shidaaah we unatakiwa uwe mstari wa mbele ile tarehe .......!!
 
hii picha ya huu ugali nilikaribishwa na ndugu yangu nimegundua kumbe huwa mnapikia kwenye simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…