Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Mwaga mboga mkuuNikupe siri ya mchuzi kuwa mzito kwa vyakula vya kitaa.....!?
Ila msiache kula eeh,..ili watoto wapate daftari na kalamu..Mwaga mboga mkuu
me naijua ingawa haina athali kiafya,Ila msiache kula eeh,..ili watoto wapate daftari na kalamu..
hahaha usitoe sir tafadhalNikupe siri ya mchuzi kuwa mzito kwa vyakula vya kitaa.....!?
hahaha usitoe sir tafadhalNikupe siri ya mchuzi kuwa mzito kwa vyakula vya kitaa.....!?
Oh,.basiiiij sitoi siri[emoji40]hahaha usitoe sir tafadhal
Una una uhakika huko mahotelini huwa wananawa wakitoka chooni? Au huwa hawaendi kunya wao?Mimi sijawahi kula kwa mama ntilie kwani Nina kinyaa sana, wakitoka chooni hawanawi wanaendelea tu kupika mikono imebeba kinyesi halafu utakuta anashika nyanya anakatakata, ndiyo maana mnasema mchuzi ni mzito halafu mtamu kumbe mnakula mavi, wakati mwingine wanashika tambala la kudekia kula wakati bila kunawa mikono kwa maji na sabuni wanaendelea kushika vyakula, wengine mbaya zaidi wana watoto wachanga kutwa wakiwatawaza watoto mavi halafu hawanawi mikono yao kwa maji yanayotitirika na sabuni
Si vinapikwa na kuchemsha mkuu?Mimi sijawahi kula kwa mama ntilie kwani Nina kinyaa sana, wakitoka chooni hawanawi wanaendelea tu kupika mikono imebeba kinyesi halafu utakuta anashika nyanya anakatakata, ndiyo maana mnasema mchuzi ni mzito halafu mtamu kumbe mnakula mavi, wakati mwingine wanashika tambala la kudekia kula wakati bila kunawa mikono kwa maji na sabuni wanaendelea kushika vyakula, wengine mbaya zaidi wana watoto wachanga kutwa wakiwatawaza watoto mavi halafu hawanawi mikono yao kwa maji yanayotitirika na sabuni