Chakula cha kuku

Mlafu

Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
63
Reaction score
54
Ndugu zangu nafanya Kazi katika kampuni ya AKM Glitters Company LTD inashugulika na utengenezaji was chakula cha kuku na utotoleshji wa kuku wa chotara. Chakula chetu kinaitwa Feedpro na being sake no kama ifuatavyo.

Broiler Stater 49,000/=
Broiler Finisher 48,000/=
Layers Mash 42,000/=
Growers Mash 38,000/=
Broiler na Layers Concentrate 25,000/=
Ukiwa na oda ndani ya dar kuanzia mifuko 20 tunakuletea mpaka kwako.

Namba zangu 078448885 0717214282
 
Vifaranga was siku moja no sh 1500 kwa kimoja
 
Mnapatikana dar maeneo gan
 
@office zenu ziko wapi??
 
Huyu mbona kapotea tena!
Makusudi au?!
 
Chakula ni mash au pillet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…