Chakito longway

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
5,936
Reaction score
4,713
Nani anatokea Arusha, Moshi, Same, Mwanga halijui hili basi?? Hili ni basi linaloongozwa kupendwa na kupandwa na wafanyabiashara wengi wa maeneo hayo wanaowahi kufunga mzigo Kariakoo.. Yani mapema sana upo Ubungo pale. Lingine linalopendwa labda ni Ngorika.. Ila hili Chakito Longway sijaliona siku nyingi, vipi bado lipo???

Na nyie wa mikoa mingine hebu tutajieni mabasi yenu yanayopendwa na wafunga mizigo wa Kariakoo...
 
Chakito kwa sasa cha mtoto.
Shughuli imebaki kwa Ngorika na Buffalo,saa saba kasoro upo ubungo.
 
kinachosifiwa hapa ni mwendo kasi au....

Mkuu mfanyabiashara anataka atoke mkoani leo, awahi kufika Dar mapema akafunge mzigo kariakoo kesho ageuza mkoa kuendelea na mishe zake.. Sasa unadhani atataka apande basi ambalo litamchelewesha njiani??
 
kama kuwahi si apande ndege?????
Mkuu mfanyabiashara anataka atoke mkoani leo, awahi kufika Dar mapema akafunge mzigo kariakoo kesho ageuza mkoa kuendelea na mishe zake.. Sasa unadhani atataka apande basi ambalo litamchelewesha njiani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…