....What a bum bum............!!
Hivi kati ya hao wawili yupi ni Chaka Demus na Plierz ni yupi?
nwenye rasta ndo chaka demus
Mimi huyo wa kulia namuona anafanana na blogger maarufu JW Malecela (Le Mtuz), au vipi??
Ndio huyo huyo alivyokuwa kijana, kabla hajaharibikiwa.
Watu ni wawili, mmoja umeshaelekezwa.
wa pili tena unamuulizia?
Huyo pliers mtoto wa watu
Watu ni wawili, mmoja umeshaelekezwa.
wa pili tena unamuulizia?
Ndio huyo huyo alivyokuwa kijana, kabla hajaharibikiwa.
huyo mwingine, ila sorry sina ndugu JF
Watu ni wawili, mmoja umeshaelekezwa.
wa pili tena unamuulizia?
kweli mkuu naona wamefanana. Na Nanananaa Na eeeh- kamata intro ya richie spice hiyoPliers ni Kaka wa Reggae SupeStar anaejulikana kwa jina la Richie Spice.