Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

Tuacheni wivu wajameni ,,,,,President,VP na PM hawa wote wana diverse portfolio
portifolio Kikatiba VP anayo kwenye Mazingira na Muungano. VP hana Mamlaka yoyote kwenye Utendaji wa Serikali. Ni ceremonial position, Ni reserve, Ni spare ya Presidaa ikitokea (Mungu aepushe)
 
Makamu na
Samia ni rais wa katiba makamu ndio mrithi wa magufuli. Magufulists ndio tunajua hii kitu. Mpango ndio guarantor kusongesha mbele umagufuli akisaidiwa na kassim majaliwa. Njama analitambua hilo.
 
Makamu na

Samia ni rais wa katiba makamu ndio mrithi wa magufuli. Magufulists ndio tunajua hii kitu. Mpango ndio guarantor kusongesha mbele umagufuli akisaidiwa na kassim majaliwa. Njama analitambua hilo.
Sasa hii italeta shida Mkuu. Kumbuka Powers za Hayati Magufuli alikuwa anazi exercise kwa back up ya Katiba, japo kulikuwa na Mapungufu but Katiba ilimpa Powers. Sasa Hii Power za kujivisha bila back up ya Sheria mama zitaleta shida kwenye utendaji. Zitawachanganya wateule. Na Nguvu ya Rais itakuwa divided, itapelekea kumpunguzia Mamlaka. Wale jamaa wa Makumbusho hawatakubali, wameapa Kumtii Rais.
 
Wanadai ni mrundi.....lakini si ana deluvee ndani ya Ranzania ? Huko alitoka utotoni acheni sasa yuko huku maslahi ya huku....ZZK mbona nae wa huko?
 
Hayo maagizo ya Mpango hadharani yanaweza Kuwa ni makubaliano yao kabla ya kikao husika.

Mama anaonekana anapenda kufanya kazi mbali na macho ya watu kama tulivyomzoea hayati JPM.

Ni Staili yake tofauti na pengine ndio sababu akamchagua Mpango na akaachana na wengine wote.

Huyu ni rais wa kwanza mwanamke hivyo hata baadhi ya tabia haziwezi kuwa sawa na watangulizi wake.

Tatizo ni kwamba baadhi ya watu wanataka wawe na utawala wa kimaamuzi wa kila anachokifanya Rais wa sasa wakimuona ni ahueni kumlinganisha na aliyepita.

Ukali wa Mpango utakuwa sawa na ule wa Kalemani au Majaliwa, Rais wa sasa anawahitaji wao wawe hivyo kama wasaidizi anaowategemea.
 
Ila watu mna maneno khaa.
Akiwa kimya nongwa akiongea nongwa.
Nadhani inchi ni yetu sote so wote tunashiriki kuijenga sioni tatizo kwenye izo kauli shida mnaishi kwa mazoea
 
Huyu kwa makusudi amepewa sauti ili iwepo balance ya kiuongozi.

Hawawezi wote wawili wakawa ni baridi, watashindwa mapema sana.

Na ndani ya vikao Rais atakuwa anawapa presha kubwa wasaidizi wake ili afidie ustaarabu anaounyesha akiwa mbele wa macho ya watu.
 
Namba 1 alikabidhiwa na rais baada ya kuapishwa kuwa amsaidie kushughulikia hilo
 
Makamu na

Samia ni rais wa katiba makamu ndio mrithi wa magufuli. Magufulists ndio tunajua hii kitu. Mpango ndio guarantor kusongesha mbele umagufuli akisaidiwa na kassim majaliwa. Njama analitambua hilo.
Yes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…