Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
Huyo mume wa kumuhangaikia hivyo ni dawa ya kuweka kwenye kidonda?
Na pesa natafuta saa ngapi kekue?Haya wenye waume zenu kazi kwenu....
Lakini siku moja moja kuburudushana namna hiyo sio mbayaKusema ukweli yaani kwa maisha ya sasa yalivyo ya mbio mbio hivi!! Mume wangu humkamati!
Kula tu kawaida anaona anachelewa! Umletee mbwembwe za nichagulie!!!??? Atakwambia chukua ukipendacho huku anafungua mlango
Wezi ndo wanaweza haya!
Kwa watu mlioko kwenye familia kuna kiwango cha mahaba aisee! Ila sio hiki hasa kwa mume wangu
Kekue ngoja tuwaachie wenye wito huo tehNa pesa natafuta saa ngapi kekue?