Wewe una sikio gani kwamba linasikia hotuba za chaguzi zote zinazoendelea huko CCM kwa wakati mmoja?
Na kama na nyinyi Chadema hamuwafuatilii CCM na mambo yao mnayajuaje?
Tunajua CCM wana matatizo yao ndiyo!
Lakini pia tunajua CDM inaishi kwa kutegemea KICk Za CCM!
Ni kama wewe
Allen Kilewella unavyoitafuta kick yako kupitia CCM kwa topic hii.