Nimejikuta na chukia sana chaguzi ndogo maana pesa zinatumika sana ila kuna mwisho wake tu haya mambo
naomba watanzania haya mambo ni bora kuyaacha tu kupinga matokeo ili iweje kama uchaguzi ume kushinda bora nenda kalime.
Haya na tunangoja na mnyika sasa