Naombeni Msaada wenu wa mawazo tafadhali,Mimi ni Mkristo nina mke lakini nahisi nilifanya uchaguzi usio sahihi maana sina hisia nae kabisa japo tumezaa pamoja mtoto,najitahidi Kumpenda lakini wapi naombeni msaada wenu nifanyeje?je kumwacha ili nisiendelee kumuumiza inawezekana?kidini ikoje hiyo?
Umri wangu ni zaidi ya miaka 30,Why?Una umri gani?
Naombeni Msaada wenu wa mawazo tafadhali,Mimi ni Mkristo nina mke lakini nahisi nilifanya uchaguzi usio sahihi maana sina hisia nae kabisa japo tumezaa pamoja mtoto,najitahidi Kumpenda lakini wapi naombeni msaada wenu nifanyeje?je kumwacha ili nisiendelee kumuumiza inawezekana?kidini ikoje hiyo?
hahahhahhahahhahahah have a coke tu bana!Kidini hairuhusiwe kumuacha kwa kuwa umekula kiapo naye kanisani labda kwa kosa la uasherati.
Huna ujanja lazima ule chuya kwa uzembe wako katika kipindi cha kuchagua.
wakati namuoa nilihisi nampenda ila nimegundua sivyoKwanini ulimuoa?
You are doomed hakuna ndoa ya kikristu inauovunjika kwa kupungukiwa hisia.
Kweli kazi ninayo ilikuwa ridhaa yangu mwenyewe ila sio sasa,na naogopa kumuumiza mtoto wa watukazi unayo....kwani ilikuwaje hapo mwanzo.....?.......alikubaka......? ulilazimishwa.....?
wakati namuoa nilihisi nampenda ila nimegundua sivyo
Then endelea kuhisi tu, maana nahisi ulimchezea love of ur life halafu ukaja kumdiss kwa huyo ulitehisi unampenda. Mtafute uliyemuahidi ukamuacha; umuombe msamaha ndipo utakapopata peace na mkeo.
Naombeni Msaada wenu wa mawazo tafadhali,Mimi ni Mkristo nina mke lakini nahisi nilifanya uchaguzi usio sahihi maana sina hisia nae kabisa japo tumezaa pamoja mtoto,najitahidi Kumpenda lakini wapi naombeni msaada wenu nifanyeje?je kumwacha ili nisiendelee kumuumiza inawezekana?kidini ikoje hiyo?
nani kakuibia hisia zako?

shkamoooooo!!!