Jana DR JAKAYA MRISHO KIKWETE alionyesha dhahiri kuwa atakaye peperusha bendera ya CCM urais katika uchaguzi mkuu oct ni Mh Sumaye.
Spika Anne Makinda alipokuwa akiwatambulisha wageni wakiwemo mawaziri mkuu wastaafu alipolitaja tu jina la MH SUMAYE,Mh Jakaya alikuwa amepozi kwa nne alipolisikia jina la MH SUMAYE alimpungia mkono kwa furaha ya ajabu kwa tabasamu zito.
Naona MR LOWASA hata hamuwazi.
MH SUMAYE chaguo la CCM.
TUMAINI JIPYA UKAWA.