hahaha, hapo umesema kweli, unaweza kuona gari zurii kwa nje, lakini injini mbovu na haifiki mbali imeshachemka...lakini mengine ni mabovu ila yanaweza kwenda hadi kijiji cha mbali kwenye vumbi bila hata kuchemsha....tuone injini kwanza aisee, ama la tufanye mpango wa kununua injini kama hatuna uhakika nayo, ile bora zaidi kabla 2015 haijafika.
kwa barabara za kibongo zilivyokuwa mbovu ni mara kumi hlo la kijani maana hlo la juu lipo luxuriously na haliwezi mikiki ya road za tz labda 2025 tukiwa na flyoverz ndio itakuwa mwake