Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 100
Nikiwa mstari wa mbele mimi wewe, yule kwa pamoja tuchague UKAWA kuleta mabadiliko katika Taifa letu October 2015, Mshauri rafiki, ndugu, jamaa na jirani yako kwenda kujiandikisha na kuhakikisha tunaipa nguvu UKAWA kwa kuwachagua viongozi wake kuanzia ngazi ya Uraisi, Wabunge na Madiwani.
Nataka Bunge lijalo litawale wingi wa wabunge wa vyama pinzani na kuiacha mafisadi CCM wakiangukia pua kama chama cha TANU.
Nikiwa mstari wa kupigania mabadiliko, na nyoosha juu mkono wa ushindi kama Barack Obama nikisema UKAWA UMOJA NI NGUVU YES TOGETHER YES WE CAN!!
MABADILIKO YANAANZA NA SISI...