Chagua mwenyekiti wa forest-mtaa wa makanisa: Kwame elly anangisye

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
480
644

CHAGUA MWENYEKITI WA FOREST-MTAA WA MAKANISA: KWAME ELLY ANANGISYE

KWAME ANANGISYE ni kijana; msikivu, ana maadili mema ya kazi, mfumbuzi, anajiamini, mkweli, muwazi

KWAME KWA MAENDELEO YA FOREST-MTAA WA KANISANI

Chagua Kwame.jpg
WAJUMBE
ANGOLILE KAMENYA
HASSAN MWASUBIRA
HAMIS MWANSYUNGUTI
WILSON SONERO
AZIZA KHAMIS
MACHA MIRIAM E.

MABADILIKO NI MIMI NA WEWE
MAENDELEO NI MIMI NA WEW
PAMOJA TUNAWEZA...
UCHAGUZI NI TAREHE 14/12/2014


Source: http://chademadiaspora.blogspot.com/2014/11/chagua-mwenyekiti-wa-forest-mtaa-wa.html
 
Forest zipo nyingi
.kuna moro, mbeya nk hii wa wapi huyu Chadema Diaspora?

ukiona mtaa wa makanisa basi Mbeya, si unajua tena Mbeya idadi ya makanisa haitofautiani sana na idadi ya nyumba za familia (kaya)
ukiona Mwa, mwa mwa bila shaka ni Mbeya
 
Last edited by a moderator:
mbeya raha sana juzi nilikuwa sijajiandikisha kwa kusahau basi nikapanda bajaji ya kukodi wakati tuko kwa safar kurud home dereva si akaniuliza vp bro usha jipawa nikamwambia bado, basi kituo cha kwanza ilikuwa kwa muandishikaji bila hata kumwambia baadae ndo akanishusha home, kuja kufuatilia kumbe wale wadereva wa bajaji walikuwa wanakaguana kana hyjajiandikisha hupangi foleni ya wateja, ilikuwa kabwe hapo, nillipenda hii style
 
Back
Top Bottom