CHAGUA KILICHO BORA ZAIDI KWA BEI CHEE KABISA

CHAGUA KILICHO BORA ZAIDI KWA BEI CHEE KABISA

cagu

Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
79
Reaction score
12
Karibuni ndugu zangu kwenye huduma za bei nafuu kabisa za Mapambo,Chakula, Keki za sherehe za aina zote, MC na Mziki. Kama una harusi, send-off, kitchen party, kipaimara, ubarikio, maafari ya aina zote, na sherehe zingine zote hadi misiba. Hakuna kushindwana kwenye bei kwani kila mteja atahudumiwa kadiri ya pesa aliyonayo, mazungumzo yapo na unachagua aina ya huduma na kila huduma zilizotajwa hapo juu ni za kiwango kizuri sana.
Tunapatikana Dar es salaam, mikocheni, sabasaba, ukonga na pugu.
Karibuni sana wandugu kwa huduma bora kabisa.
Wasiliana nasi kwa simu zifuatazo: 0655441943, 0692285053, 0713373875, 0764596665
EDADE'S company

1) Mapambo bei inaanzia 400,000/-
2)Chakula sahani inaanzia 6500/-
3)Keki ngazi sita inaanzia 200,000/-
4) MC na Mziki inaanzia 500,000

Karibuni sana kwa huduma bora kabisa
 
Back
Top Bottom