M Mkurabitambo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2010 Posts 230 Reaction score 57 Jul 30, 2012 #1 licha ya vibwanga,vituko na mambo yote ya aibu juu ya hawa jamaa bado mwaka 2015 posters mtaani zitasomeka chagua lusinde. CCM Wabishi na wagumu kusoma alama za nyakati.. Watanzania wagumu kuelewa na wepesi kusahau na huo ndo mtaj wakina LUSINDE
licha ya vibwanga,vituko na mambo yote ya aibu juu ya hawa jamaa bado mwaka 2015 posters mtaani zitasomeka chagua lusinde. CCM Wabishi na wagumu kusoma alama za nyakati.. Watanzania wagumu kuelewa na wepesi kusahau na huo ndo mtaj wakina LUSINDE
KASHOROBANA JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 3,241 Reaction score 964 Jul 30, 2012 #2 Tuondolee kichefuchefu hapa
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Jul 30, 2012 #3 WAJINGA NDIO WALIWAO. NYINYIEM BADO KITAMBO KIDOGO TU ITABAKI HISTORIA. halafu ungehamishia huu uzi kunakohusika.
WAJINGA NDIO WALIWAO. NYINYIEM BADO KITAMBO KIDOGO TU ITABAKI HISTORIA. halafu ungehamishia huu uzi kunakohusika.
Butho Mtenzi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 331 Reaction score 22 Jul 30, 2012 #4 Apo kweli ndio ntaapriciate kuwa Watanzania wengi ni wasahaulifu kwani hawa jamaa from wht i know wamekipaka matope ata chama chao
Apo kweli ndio ntaapriciate kuwa Watanzania wengi ni wasahaulifu kwani hawa jamaa from wht i know wamekipaka matope ata chama chao