ha ha! Mkuu huyu kiumbe kama anahatia ya ufisadi basi ameenda na wengi hapa ndo najua siasa mchezo mchafu upinzani waling'aka kuwa fisadi wakamkubali sasa hivi kahama tena bado fisadiMaji hufuata mkondo siku zote, gamba fisadi limeamua kurudi kwa mafisadi wenzie kwani limeona mlango wa hazina umeachwa wazi kabisa wajichotee tu
Hamna picha inayokosesha usingizi Ufipa kama kombinisheni ya hizi mitu minne
View attachment 1035523
Utakufa na stress wewe mbeba mabox wa US sisi huku tunapiga kazi tu!!Kamuulize dhalimu na dikteta magufuli hili swali lako la kipuuzi.
Lowassa azungumzia hatma yake CHADEMA - JamiiForums
Hamjui hata mtetee vipi ujio wa Lowasa,Hamna picha inayokosesha usingizi Ufipa kama kombinisheni ya hizi mitu minne
View attachment 1035523
ha ha! Mkuu huyu kiumbe kama anahatia ya ufisadi basi ameenda na wengi hapa ndo najua siasa mchezo mchafu upinzani waling'aka kuwa fisadi wakamkubali sasa hivi kahama tena bado fisadi
hicho chama unachokiamini mbona kimeweza kumpokea mtu waliekuwa wanahubiri kuwa ni fisadi.. sasa nini tofauti kati ya ccm na chadema ktk kupambana na mafisadi.?Ungekuwa unafuatilia mabandiko yangu na wengine humu ungegundua ujio wa huyu fisadi na malaya wa kisiasa hatukuukubali tangu siku ya kwanza na muda wote wa miaka minne aliokuwepo ndani ya Chadema. Msimamo wetu unaonyesha dhahiri kwamba tulikuwa 100% correct kumpinga huyu na muda wote huo hakusaidia chochote ndani ya chama bali kusubiri 2020 ili agombee tena.
hicho chama unachokiamini mbona kimeweza kumpokea mtu waliekuwa wanahubiri kuwa ni fisadi.. sasa nini tofauti kati ya ccm na chadema ktk kupambana na mafisadi.?
labda nikuambie Msimamo wangu ni kuwa siamini vyama vya siasa mkuu vyama vinaongozwa na binadamu leo atasemwa ccm kesho akishika chadema utajionea hii ni kwasababu viongozi wanatutawala na sio tunawatawala kama ccm hawaheshimu misingi ya haki n.k chadema cuf n.k ndo walewale binadamu.. swala la lowasa kuhamia chadema ndo unatakiwa kupima weledi wa watu wale mkuu siasa ni mchezo mchafu hasa kwa nchi zetuNarudia tena kumpokea huyo fisadi ilikuwa ni makosa makubwa sana. Tofauti ya Chadema na ccm ni kubwa sana kama usiku na mchana. Unadhani kwanini hii kamata kamata ya bio hizi was Chadema kila mara na wengine kutaka kuwaua? Kama hakuna tofauti ya ccm na Chadema unadhani kwanini maccm wanahofia katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na uchaguzi huru na wa haki badala yake wanakuja na miswaada FAKE ya kuminya demokrasi nchini na kuibana chadema kwa kila namna ikiwemo kufanyiwa fujo na policcm kwenye mikutano yake ya ndani na kutoruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara kwa miaka mitano wakati ccm wanafanya hayo kila kukicha bila bugudha yoyote!? 😳
labda nikuambie Msimamo wangu ni kuwa siamini vyama vya siasa mkuu vyama vinaongozwa na binadamu leo atasemwa ccm kesho akishika chadema utajionea hii ni kwasababu viongozi wanatutawala na sio tunawatawala kama ccm hawaheshimu misingi ya haki n.k chadema cuf n.k ndo walewale binadamu.. swala la lowasa kuhamia chadema ndo unatakiwa kupima weledi wa watu wale mkuu siasa ni mchezo mchafu hasa kwa nchi zetu
ni vyema lkn huko ni sawa na kudanga!Sasa hapo ndiyo unakuja umuhimu mkubwa wa demokrasi, utawala bora, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na uchaguzi huru na wa haki.
Badala ya chama kimoja kung’ang’ania madarakani kwa miaka 58 huku wakitenda maovu na madudu kibao kila baada ya miaka mitano kama ni ccm kavurunda then they’ll be kicked out of office Chadema katika miaka mitano yao wakivurunda basi ccm watarudi madarakani au NCCR/CUF wataingia madarakani. Hii italeta heshima kubwa sana kwa Wapiga kura na Bunge halitakuwa tena Bunge DHAIFU kuisimamia Serikali kwenye maovu na madudu yake. Hapo tutaanza kuona Maendeleo ya kweli kwenye sekta mbali mbali nchini ikiwemo elimu, afya, kilimo etc.
ni vyema lkn huko ni sawa na kudanga!
Kuna mataifa hayana viongozi wa kubadirikabadirika lkn wapo mbali kimaendeleo n.k kwanini tuhangaike mara leo chadema kesho cuf mara ccm n.k inamaana hatuna viongozi wenye sifa stahiki na vyombo stahiki na hapo ndipo tunapokosea mkuu viongozi tulionao hawakizi mahitaji ya nchi.. tunahitaji viongozi sahihi swali ni kuwa tunawapataje..?