Ungekuwa na uwezo wa kufikiri usingeandika huu upuuzi, ndy nyie mliotufikisha hapaKwanza kabisa napenda kuwatakia Jumapili njema wana Great thinkers. Pia mimi ni UVCCM lengo la kuanzisha uzi huu ni kutoa ushauri kwa CHADEMA na Vyama vingine vya Upinzani wafanye mambo ambayo yana manufaa kwa wananchi na sio vinginevyo.
Hapo wakishirikiana na Serikali iliyopo madarakani katika kuleta maendeleo mbalimbali kwa wananchi katika Nchi yetu ya Tanzania. Nimeandika uzi huu nikiwa kama kijana mwenye kuipenda nchi yangu ikisonga mbele.
Mara nyingi vyma vya Upinzani hasa wale Chadema wao mara nyingi hupinga hata mambo ya msingi ya kulijenga Taifa letu. Hii haitaweza kutuweka katika uchumi wa kati. CCM wanajaribu kujenga lakini wenzetu wapinzani kazi yao ni kupinga as if they have mandatory in this country.
Please nawaomba sana wapinzani tuunge mkono juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi na Serikali iliyopo madarakani. Jaribuni hata kubuni Shule, Kiwanja au NGO's kwa jina au brand ya Chadema. Maana naona viwanja, Shule Ccm, Soko Com na vingine kibao taifa hili ni vya Ccm.
Sijawahi kusikia hiki ni Chadema. Hivi nyie sio wabunifu mpaka muwe hamna kitu na kazi yenu kuu ni kupinga tuuuu? Zingatieni ushauri wangu. Naomba tena mzingatie ushauri wangu. Mnafikiri kama Chama kubwa Ccm kitakapoamua kupumzika kuwa madarakani nyie Ukawa na Chadema yenu mtaanzia wapi kuliongoza Taifa hili la Tanzania? Kusuka au kunyoa ni maamuzi yenu.
Ahsante sana kwa kusoma l
Mungu tubariki sisi sote na Taifa letu.
Mbariki pia na Rais wetu Kipenzi Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Mimi nipo vizuri, Ila naongelea mustakabali wa watanzania in generalhata nikikuliza una kuku wangapi utasema huna hata moja japo ardhi ya tanzania ni kubwa sana na mahali pa kufugia ni pakubwa!! ulitaka CCM ikujengee kibanda cha kuku?
Ni vema kabla ya kujiunga humu jf mkatuwekea kijiutaratibu hata cha kutupima akili .Kwanza kabisa napenda kuwatakia Jumapili njema wana Great thinkers. Pia mimi ni UVCCM lengo la kuanzisha uzi huu ni kutoa ushauri kwa CHADEMA na Vyama vingine vya Upinzani wafanye mambo ambayo yana manufaa kwa wananchi na sio vinginevyo.
Hapo wakishirikiana na Serikali iliyopo madarakani katika kuleta maendeleo mbalimbali kwa wananchi katika Nchi yetu ya Tanzania. Nimeandika uzi huu nikiwa kama kijana mwenye kuipenda nchi yangu ikisonga mbele.
Mara nyingi vyma vya Upinzani hasa wale Chadema wao mara nyingi hupinga hata mambo ya msingi ya kulijenga Taifa letu. Hii haitaweza kutuweka katika uchumi wa kati. CCM wanajaribu kujenga lakini wenzetu wapinzani kazi yao ni kupinga as if they have mandatory in this country.
Please nawaomba sana wapinzani tuunge mkono juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi na Serikali iliyopo madarakani. Jaribuni hata kubuni Shule, Kiwanja au NGO's kwa jina au brand ya Chadema. Maana naona viwanja, Shule Ccm, Soko Com na vingine kibao taifa hili ni vya Ccm.
Sijawahi kusikia hiki ni Chadema. Hivi nyie sio wabunifu mpaka muwe hamna kitu na kazi yenu kuu ni kupinga tuuuu? Zingatieni ushauri wangu. Naomba tena mzingatie ushauri wangu. Mnafikiri kama Chama kubwa Ccm kitakapoamua kupumzika kuwa madarakani nyie Ukawa na Chadema yenu mtaanzia wapi kuliongoza Taifa hili la Tanzania? Kusuka au kunyoa ni maamuzi yenu.
Ahsante sana kwa kusoma l
Mungu tubariki sisi sote na Taifa letu.
Mbariki pia na Rais wetu Kipenzi Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Asante sana kada mwenzangu wa Chama pendwa....sasa hawa nyumbu badala ya kukushukuru watajikita kutoa mapovu.....Naipenda CCM mpaka naumwa.
Si uome msaada kwa heshima?Unaomba msaada hku unajifanya unajua?Watakuacha km Lema sasa haombi msamaha, hataki tena awekewe dhamana, atahudhuria mahakamani na kurudi, sasa mtajua wenyewe nanma ya kumtoa, kumwacha ni mbaya ,kumtoa ni mbaya.Kazi kwenu. Chadema washirikiane vipi na CCM, Chadema ni Digitali CCM ni mechanical. Ndio maana mmeiga mawazo yao mmechemsha.Kwanza kabisa napenda kuwatakia Jumapili njema wana Great thinkers. Pia mimi ni UVCCM lengo la kuanzisha uzi huu ni kutoa ushauri kwa CHADEMA na Vyama vingine vya Upinzani wafanye mambo ambayo yana manufaa kwa wananchi na sio vinginevyo.